Uhuru Selemani (enzi hizo akiichezea Simba) akijaribu kumtoka Ibrahim Shikanda (sasa ni kocha wake) huku Khamis Mcha Viali akisogea kujaribu kutoa msaada.

Azam FC leo itahitaji huduma ya watatu hawa kuweza kupata ushindi wa pili mfululizo katika raundi ya pili, Shikanda akiwa kama kocha, na Mcha  na Uhuru wakiwa wachezaji

Azam FC itashuka kwenye uwanja wake wa Azam Complex kukwaana na Toto Afrika ya Mwanza katika VPL raundi ya pili