Wachezaji wa kimataifa wa Kenya waliosajiliwa Azam FC Jockins Atudo na Humphrey Ochieng Mieno wamewasili jana usiku tayari kuanza kuitumikia Azam FC huku Brian Umony akitarajiwa kuwasili kesho kwa kutumia ndege ya shirika la Uganda