Nahodha wa Azam Academy Mgaya Abdul akipokea kikombe cha ubingwa wa Uhai Cup toka kwa mwenyekiti mstaafu wa BMT Kanali Mstaafu Iddi Kipingu huku Rais wa TFF Sir Leodeger Chilla Tenga akishuhudia