Brian Umony, Mshambuliaji bora wa Uganda na Afrika Mashariki kwa sasa, ambaye jusi alitwaa tuzo ya mchezaji bora wa CECAFA ametua Azam FC

Umony Mchezaji wa zamani wa Supersports United ya Afrika ya kusini na Portland Timber ya New England ya Marekani amejiunga na Azam FC kwa mkataba wa miaka miwili