Azam FC leo inashuka dimbani kukwaana na African Lyon FC katika mechi ya tano kwa Azam FC ya ligi kuu ya Vodacom, mechi hii itachezwa Chamazi Complex

Kikosi cha Azam FC kitashuka dimbani kusaka pointi tatu muhimu ambapo kama tutashinda kwa zaidi ya magoli matatu basi Azam FC itakwea hadi kileleni mwa msimamo wa VPL ikisubiri matokeo ya mechi ya utangulizi ya raundi ya sita kwa simba dhidi ya JKT Oljoo hapo kesho.

Kikosi cha Azam FC hii leo kinatarajiwa kuwa

GKMwadini Ally

RBErasto Nyoni

LB – Samih Nuhu

CB – Aggrey Morris & Said Moradi

MD- Himid Mao, Jabir Aziz, Abdi Kassim & Ibrahim Mwaipopo

STRKipre Tchetche & John Bocco

Reserve

Deogratius Dida Munishi, Ibrahim Shikanda,  Joseph Owino,  Salum Abubakar, Abdulhalim Humud, Kipre Bolou, Khamis Mcha, Zahoro Pazi