Mchezaji John Bocco leo ilikuwa amalize majaribio yake na Super Sport United lakini Super Sport United wameomba kuongeza muda wa majaribio hadi alhamisi ijayoklabu ya Azam FC inamtakia kila la kheri JB19 kwenye majaribio yake