Biashara na Mjadala wa Mrisho Ngasa umefungwa leo mchana saa tisa kasorobo baada ya Simba SC kuizidi nguvu Yanga na kutoa shilingi milioni 25. ofa ya Yanga iliiishia milioni 20.

Azam FC inamtakia kila la heri na mafanikio mema Mrisho Ngasa kwenye klabu yake mpya ya Simba