Azam FC jioni hii imetoka sare ya 1-1 na Mafunzo ya Zanzibar katika mechi yake ya kwanza ya Kagame Cup, Goli la Azam FC lilifungwa na John Bocco. Mashindano ya Kagame Cup yanaendelea kwenye viwanja vya Taifa na Chamazi