Azam Academy imeanza vizuri mashindano ya Rolling Stone baada ya kuisasambua timu ya Nyirakongo ya DRC 3-0,

Magoli yamefungwa na Kimwaga (2) Mudathir (1) katika mchezo ambao Azam Academy waliutawala mchezo muda wote

Timu iliyoanza jana ni Aishi, Mgaya,Shabalala,Dizana,Mkomola, Reyna, Mudathiri,Kaijage,Machupa, Kelvin and Kimwaga.