Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum, Salum Abubakar, Mrisho Ngasa, na John Bocco wapo na timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars. Joseph Owino yupo na timu ya Taifa ya Uganda Cranes na Abdulhalim Humud, Khamis Mcha, Abdi Kassim na Abdulghani Ghulam Abdallah  wapo na Zanzibar heroes inayoenda kucheza kombe la dunia la mataifa yasiyo wanachama wa FIFA

Hii inafanya jumla ya wachezaji 14 wa Azam Fc wawe kwenye majukumu ya kimataifa kwa kipindi hiki

Pichani juu ni Mrisho Ngasa na Abdulhalim Humud