Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Shabaan Nditi, Juma Nyosso, na Bocco wakiwa wamebeba jeneza la mchezaji mwenzio Patrick Mafisango wakati likiingia katika viwanja vya TCC kwa ajili ya kuagwa kabla ya kusafirishwa kwenda kwao DRC Congo kwa ajili ya mazishi. picha kwa hisani ya Blog ya Shaffih Dauda