Wanyakyusa na Wanyalukolo wanasikilizana kwa mambo mengi ikiwemo namna ya kushukuru, kusalimiana, kupongezana nk. hata vyakula vyao vinafanana

Hili Hug ni Typical la Nyanda za Juu kusini na ni maalum nyakati za furaha. halitolewi kwa kila mtu isipokuwa kwa wanyalu pekee

bofya hapa kuona picha zaidi

http://www.facebook.com/media/set/?set=a.321288781244818.75831.131868543520177&type=3