Kama ningeambiwa nimchague mshangiliaji bora basi ningewachagua Abubakar Mapwisa aka Claude (pichani) na John Bocco.

Wengi tulifurahia ushindi lakini wawili hawa walituzidi katika kuonesha hisia

Kama ningechagua Mhanga wa ushangiliaji basi ningemchagua Kocha Stewart Hall kutokana na vurugu ambazo wachezaji wake walimfanyia. kuona matukio mengi zaidi katika picha tembelea page yetu ya facebook kwa kubofya hapa http://www.facebook.com/media/set/?set=a.321288781244818.75831.131868543520177&type=3