Mashindano ya Uhai Cup 2010/11 yapo njiani kufanyika, hii picha ni ya logo ya mashindano itakayotumiwa msimu huu kama ilivyotolewa na Wahamini wa Mashindano Bakhresa Food Products.

Tunazitakia timu zote maandalizi mema