Katika kuhakikisha ukuwaji wa viwango vya wachezaji wa kituo cha kuendeleza watoto cha Azam FC unakuwa wenye ushindani ukiambatana na maendeleo ya kinidhamu ndani na nje ya uwanja, Azam FC imeanzisha utaratibu wa kutoa tuzo kwa vijana wanaofanya vyema.

Mwezi uliopita wachezaji waliopata tuzo ni kama ifuatavyo.
1. Ally Kaijage- Mchezaji mwenye nidhamu mazoezini
2. Jackson wandwi – Mchezaji anayejituma na asiye na manung’uniko mazoezini
3. Mwinyi Jamal – mchezaji mwenye nidhamu nje ya uwanja
4. Mackyada Franko – Mchezaji mwenye maendeleo mazuri zaidi

5. Dizana Issa Yarouk – Mchezaji anayetoa matumaini zaidi

Tuzo hizo zimetolewa kutokana na mchujo uliofanywa mwezi septemba 2011