watoto wajanja wanandinga wa kesho wakiwa wamepenya hadi ndani ya uzio bila kuonekana na walinzi kushuhudia kwa karibu mechi ya kirafiki kati ya Azam FC na Polisi Dom. lakini kamera za mtandao wa www.azamfc.co.tz ziliwaona