Kushoto ni beki wa kimataifa wa Ghana ambaye ni nahodha wa klabu ya King Faisal na nahodha wa timu ya taifa ya Ghana inayohusisha wachezaji wanaocheza Afrika Nafiu Awudu, anayefuata mwenye kanzu nyeupe ni Selemani Mabehewa ambaye ni mjumbe wa bodi ya Azam FC, anayefuata ni Vincent Odotei ambaye ni CEO wa Klabu ya Kingfaisal na kulia ni Wahab Yahaya ambaye ni mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana aliyetoka Kingfaisal Babes pia. Nafiu na Wahab wameshamwaga wino kuichezea Azam FC

Hapa ni uwanja wa ndege wa kimataifa wa DSM