Ghana leo itavuka kuelekea robo fainali ya WC lakini kuku home Azam FC imefungua Blog yake ili kuendana na wakati, blog hii itakuwa seheme ya tovuti mpya ya klabu yetu ambayo itakuwa hewani hivi karibuni
angalia hapa http://azamfc.blogspot.com/