Mtaalamu wa kike akisimamia programu za gym za Shaaban Idd, Joseph Kimwaga

Category: 

WACHEZAJI wa Azam FC, Shaaban Idd na Joseph Kimwaga, wamekuwa wakifanyishwa programu maalumu ya gym kumalizia matibabu ya majeraha yao.
Programu hiyo wamekuwa wakiifanya katika Kliniki ya London Health Care iliyopo Msasani eneo la Macho, jijini Dar es Salaam.

Back to Top