"KUREJEA SOKA KUNATURUDISHIA UHAI," AZAM FC

Category: 

"Ni zamu yao kuhakikisha kwamba hawashambuliwi na Corona kwa maana kwamba wawe makipa wazuri wazuie magoli yasipite kwenye lango lao, Corona asishinde, mabeki wao wageuke kama mabeki wazuie washambuliaji wa Corona wasipite, lakini wao nao pia wageuke kuwa washambuliaji kuhakikisha wanapata magoli kwenye lango la Corona," alisema Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Azam FC, Thabit Zakaria, akiwaambia mashabiki wa timu hiyo baada ya ligi kuwa mbioni kurejea. 

Back to Top