Inawezekana Ngasa alikuwa offside lakini Bocco na Penati mbili je? dhuluma kama hizi pia zilifanywa Arusha dhidi ya JKT Oljoro na Tanga dhidi ya coastal Union. katika mechi zote tatu, Azam FC haikupoteza mchezo

Back to Top