Azam FC kuweka kambi siku 10 Uganda - Jaffar Idd (Agosti 1, 2017)

Category: 

ZIKIWA zimesalia siku 25 kabla ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kuanza, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kuweka kambi ya siku 10 nchini Uganda kuanzia Jumapili ijayo Agosti 6 mwaka huu.

Back to Top