Azam Complex, sasa ni kuserereka tu

Category: 

#AzamFCToTheNextLevel MAREKEBISHO ya sehemu ya kuchezea ya Uwanja wa Azam Complex unaomilikiwa na Azam FC, yamemalizika kwa asilimia 100 na sasa upo tayari kwa matumizi ya kuchezea mechi mbalimbali.

#AzamComplexStadiumRenovation #WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora

Back to Top