ASFC Round 3: Shuhudia 'hat-trick' ya nguvu ya kinda hatari wa Azam FC - Januari 30, 2018

Category: 

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeendeleza dozi nene kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) baada ya kuichapa Shupavu mabao 5-0, mchezo uliomalizika jioni ya leo Jumanne kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

Back to Top