StewartHall

Club ya Azam FC yamrudisha Stewart Hall

Stewart Hall

Klabu ya Azam FC imefanya mabadliko makubwa ya watendaji na kidogo kwenye mfumo wake wa uongozi, ili kuleta tija na mafanikio kwa haraka klabuni. Utekelezaji wa mabadiliko hayo unaanza mwezi huu.

BODI YA WAKURUGENZI;
Hiki ni kikao cha juu kabisa cha maamuzi ya klabu, wajumbe wake wanabaki kuwa wanafamilia wa familia ya Bakhresa. Viongozi na baadhi ya watendaji hualikwa kwenye vikao ili kutoa ripoti za utendaji na sera.

Back to Top