TIMU ya Azam FC imepangwa kucheza na Simba katika robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC).

Mchezo huo unatarajia kufanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kati ya Juni 27 na 28 mwaka huu.

May 30, 2020 12:07am

TIMU ya Azam FC imepangwa kucheza na Simba katika robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam...

May 29, 2020 10:36am

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, anatarajia kurejea kwenye majukumu yake ndani ya kikosi...

May 28, 2020 01:03am

KIKOSI cha Azam FC, kimeanza rasmi mazoezi jana Jumatano jioni, tayari kujiweka sawa kabla ya...

May 30, 2020 12:07am

TIMU ya Azam FC imepangwa kucheza na Simba katika robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam...

May 28, 2020 01:03am

KIKOSI cha Azam FC, kimeanza rasmi mazoezi jana Jumatano jioni, tayari kujiweka sawa kabla ya...

May 29, 2020 10:36am

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, anatarajia kurejea kwenye majukumu yake ndani ya kikosi...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

May 30, 2020 12:07am

TIMU ya Azam FC imepangwa kucheza na Simba katika robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

May 10, 2019 12:50am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imejiongezea pointi moja kwenye msimamo wa...

News by Cetegory

Highlight News

May 30, 2020 12:07am

TIMU ya Azam FC imepangwa kucheza na Simba katika robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC).

Mchezo huo unatarajia kufanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kati ya Juni 27 na 28 mwaka huu.

Droo hiyo imefanyika leo Ijumaa kwenye ofisi za wadhamini wa michuano hiyo, Azam Media.

Azam FC ikipenya raundi hiyo, kwenye nusu fainali itakutana na mshindi wa robo fainali nyingine kati ya Yanga na Kagera Sugar.

Mechi nyingine za robo fainali itazikutanisha,...

May 29, 2020 10:36am

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, anatarajia kurejea kwenye majukumu yake ndani ya kikosi cha timu hiyo mapema wiki ijayo akitokea nchini kwao Romania.

Cioaba na kocha wa viungo, Costel Birsan, wamekwama nchini kwao Romania kutokana vikwazo vya ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) baada ya mipaka ya nchi hiyo kufungwa.

Mkuu wa Idara cha Habari na Mawasiliano ya Azam FC, Thabith Zakaria, amethibitisha kuwa tayari wawili hao wameshapata kibali cha kutoka nje ya mipaka ya...

May 28, 2020 01:03am

KIKOSI cha Azam FC, kimeanza rasmi mazoezi jana Jumatano jioni, tayari kujiweka sawa kabla ya kuanza mechi za kumalizia msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Azam FC imerejea mazoezini baada ya Serikali kuruhusu shughuli za michezo kuendelea kuanzia Juni Mosi mwaka huu, baada ya maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) kupungua hapa nchini.

Mazoezi ya Azam FC yamesimamiwa na Kocha Msaidizi, Bahati Vivier, ambaye anawasiliana kwa ukaribu na Kocha...

May 13, 2020 12:53pm

BEKI wa kulia wa Azam FC, Nickolas Wadada, ameweka wazi kuwa janga la ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) limemuathiri kiuchumi baada ya kulazimika kuwasamehe kodi wapangaji wake.

Wadada kwa sasa yupo nchini kwao Uganda, akichukua tahadhari za kujikinga na ugonjwa wa Corona unaoendelea kuitesa dunia hivi sasa.

Mara baada ya ugonjwa huo kushika kasi miezi miwili iliyopita, serikali ya Uganda kupitia kwa Rais wake, Yoweri Museveni, uliwapa maelekezo wamiliki wote wa nyumba za...

May 13, 2020 12:53pm

BEKI wa kulia wa Azam FC, Nickolas Wadada, ameweka wazi kuwa janga la ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) limemuathiri kiuchumi baada ya kulazimika kuwasamehe kodi wapangaji wake.

Wadada kwa sasa yupo nchini kwao Uganda, akichukua tahadhari za kujikinga na ugonjwa wa Corona unaoendelea kuitesa dunia hivi sasa.

Mara baada ya ugonjwa huo kushika kasi miezi miwili iliyopita, serikali ya Uganda kupitia kwa Rais wake, Yoweri Museveni, uliwapa maelekezo wamiliki wote wa nyumba za...

May 03, 2020 03:02pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, amefurahishwa na kauli ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) ambayo imeungana na wazo lake la kupendekeza wachezaji wa akiba kuongezwa hadi kufikia watano.

Wiki mbili zilizopita, akizungumza na mtandao wa klabu www.azamfc.co.tz, Cioaba alipendekeza kwa viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuongeza wachezaji wa akiba kutoka watatu hadi watano pale Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (TPL)...

Apr 23, 2020 06:49pm

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Obrey Chirwa, ameongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kusalia ndani ya timu hiyo.

Mkataba wa awali wa nyota huyo alioongeza Juni mwaka jana, ulikuwa unamalizika mwishoni mwa msimu huu, hivyo kwa kusaini tena kutamfanya aendelee kusalia hadi mwishoni mwa msimu ujao.

Chirwa, aliyejiunga na Azam FC msimu uliopita amesaini mkataba huo mbele ya Afisa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo, Abdulkarim Amin ‘Popat’.

Mara baada ya kusaini mkataba huo, Chirwa...

Apr 19, 2020 09:54am

SIKU kama leo miaka sita iliyopita (Aprili 19, 2014), Azam FC iliweka alama yao kwenye vitabu vya kumbukumbu vya soka hapa nchini pale ilipomaliza Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kwa kutwaa taji hilo kwa mara ya kwanza bila kupoteza hata mchezo mmoja.

 

Ilikuwa katika mchezo wetu dhidi ya JKT Ruvu Stars (sasa JKT Tanzania) ambapo tulishinda 1-0, shukrani kwa bao la dakika ya 78 lililofungwa na straika kutoka nchini Uganda, Brian Umony.

 

Mechi hii ilikuja...

Apr 16, 2020 02:32pm

KOCHA Mkuu wa klabu ya Azam FC, Aristica Cioaba, ameliomba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuongeza idadi ya wachezaji wa akiba kutoka watatu hadi watano.

Cioaba ametoa ombi hilo kwa TFF, akiwa na malengo ya kuwasaidia wachezaji kujiepusha na majeraha, endapo Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) itarejeshwa hivi karibuni.

Ligi hiyo kwa sasa imesimamishwa kwa muda wa mwezi mmoja tokea Machi 17 mwaka huu, kutokana na janga la ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19)...

May 10, 2019 12:50am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imejiongezea pointi moja kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) baada ya kutoka suluhu dhidi ya KMC mchezo uliomalizika usiku huu katika Uwanja wa Azam Complex.

Pointi hiyo inaifanya Azam FC kufikisha pointi 68 kwenye msimamo wa ligi ikiwa nafasi ya tatu, ikizidiwa pointi 13 na vinara Simba waliojikusanyia 81 huku Yanga walio nafasi ya pili wakiwa nazo 80.

Mchezo huo ulikuwa mkali na wa aina yake, Azam FC ikionekana...

May 09, 2019 04:01pm

BEKI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Yakubu Mohammed, amesaini mkataba mpya wa miaka miwili leo alhamisi.

Awali mkataba wa Yakubu ulikuwa ukitarajia kumalizika Novemba mwaka huu, hivyo kwa kuongeza mkataba huo kutamfanya aendelea kuitumikia Azam FC hadi 2021.

Nyota huyo amekuwa na kiwango kizuri tokea ajiunge na Azam FC Novemba 2016, akitokea Aduana Stars ya Ghana, ambapo kwa mara ya kwanza alisaini mkataba wa miaka mitatu.

Beki huyo raia wa Ghana,...

Back to Top