TIMU za vijana za Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, chini ya umri wa miaka 11 (U-11) na 13 (U-13) inatarajia kushiriki michuano maalumu ya vijana nchini (JMK Mini Cup) itakakayofanyika kwenye Uwanja wa Kituo cha Jakaya Mrisho Kikwete (JMK Park) Aprili Mosi mwaka huu kuanzia 2.30

Mar 22, 2017 03:33pm

TIMU za vijana za Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, chini ya umri wa miaka 11 (...

Mar 21, 2017 01:12am

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kimerejea jijini Dar es Salaam...

Mar 20, 2017 05:18am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeshindwa kutinga kwenye raundi ya mwisho ya...

Mar 22, 2017 03:33pm

TIMU za vijana za Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, chini ya umri wa miaka 11 (...

Mar 21, 2017 01:12am

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kimerejea jijini Dar es Salaam...

Mar 20, 2017 05:18am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeshindwa kutinga kwenye raundi ya mwisho ya...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

Mar 22, 2017 03:33pm

TIMU za vijana za Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, chini ya umri wa miaka 11 (...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

Nov 11, 2016 10:25pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi wa...

News by Cetegory

Highlight News

Mar 22, 2017 03:33pm

TIMU za vijana za Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, chini ya umri wa miaka 11 (U-11) na 13 (U-13) inatarajia kushiriki michuano maalumu ya vijana nchini (JMK Mini Cup) itakakayofanyika kwenye Uwanja wa Kituo cha Jakaya Mrisho Kikwete (JMK Park) Aprili Mosi mwaka huu kuanzia 2.30 asubuhi hadi saa 6.00 mchana.

Hiyo ni michuano ya kwanza kwa timu hizo kushiriki, tokea zilipoundwa mwanzoni mwa mwaka huu kwa pamoja kikiwa na jumla ya wachezaji 29 wenye vipaji vya hali ya...

Mar 21, 2017 01:12am

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kimerejea jijini Dar es Salaam usiku huu kikitokea nchini Swaziland kilipoenda kucheza mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Mbabane Swallows na kufungwa mabao 3-0 juzi.

Azam FC iliyotolewa kwenye michuano hiyo kwa jumla ya mabao 3-1, ilianzia safari yake saa 6.15 mchana jijini Johannesburg kwa usafiri wa Ndege ya Shirika la Kenya (KQ) ikipitia nchini Kenya kabla ya kuunganisha ndege iliyowafikisha...

Mar 20, 2017 05:18am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeshindwa kutinga kwenye raundi ya mwisho ya mtoano ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa na Mbabane Swallows mabao 3-0 jana jioni katika mchezo wa marudiano uliofanyika Uwanja wa Taifa wa Somhlolo, Swaziland.

Kwa ushindi huo wa Swallows, unaifanya kufuzu kwa raundi ijayo kwa jumla ya mabao 3-1 kufuatia ushindi wa bao 1-0 iliyoupata Azam FC katika mchezo wa kwanza uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar...

Mar 18, 2017 09:10am

WAKATI ikiwa imebakia siku moja tu kumenyana na Mbabane Swallows, Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba, amejinasibu ya kuwa anakiamini kikosi chake kitapata matokeo mazuri kesho Jumapili katika mchezo huo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Mchezo huo wa raundi ya kwanza ya michuano hiyo, utafanyika katika Uwanja wa Taifa wa Somhlolo, mjini Mbabane, Swaziland utakaoanza saa 10.30 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Azam FC...

Mar 17, 2017 01:16am

BALOZI wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Mh. Richard Lupembe, ameweka wazi kuwa Azam FC ni moja ya timu zinazowatia moyo kama Watanzania wanoishi nje ya nchi, huku akiipa mkono wa ushindi kuelekea mchezo wa marudiano dhidi ya Mbabane Swallows ya Afrika Kusini.

Lupembe alitoa kauli hiyo wakati alipoitembelea timu hiyo jana kwenye kambi yake katika Hoteli ya Acardia jijini Pretoria, nchini humo ikijiandaa na mchezo huo wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaofanyika Uwanja wa Taifa wa...

Mar 16, 2017 09:06pm

MAKAMU wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, aliyeambatana na Azam FC kuelekea mchezo wake wa marudiano dhidi ya Mbabane Swallows, amesema wanauhakika mkubwa wa timu hiyo kusonga mbele kwa raundi ijayo ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Karia ameambatana na kigogo mwingine wa TFF ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho hilo, James Muhagama, wote kwa pamoja wakiwa na imani kubwa na timu hiyo ambayo iliondoka na ushindi wa bao 1-0 nyumbani.

Azam FC...

Mar 16, 2017 02:32pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetua salama nchini Afrika Kusini jana jioni huku ikiwa na morali kubwa ya kufanya vizuri katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Mbabane Swallows.

Mchezo huo utafanyika Uwanja wa Taifa wa Somhlolo, nchini Swaziland Jumapili hii saa 10.30 kwa saa Afrika Mashariki, ambapo Azam FC  itaingia dimbani ikiwa na faida ya ushindi wa bao 1-0 walioupata katika mchezo wa kwanza uliofanyika jijini Dar es Salaam, bao...

Mar 15, 2017 12:26am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, usiku huu imemaliza mazoezi ya mwisho kabla ya leo Jumatano asubuhi kuanza safari ya kuelekea kwenye mchezo wake wa marudiano wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Mbabane Swallows, utakaofanyika Uwanja wa Somhlolo, mjini Mbabane, Swaziland Jumapili hii Machi 19.

Mabingwa hao wa Ngao ya Jamii na Kombe la Mapinduzi mwaka huu, wanaonolewa na Kocha Mkuu Aristica Cioaba raia wa Romania, wataondoka na Ndege ya Shirika...

Mar 14, 2017 12:13am

NYOTA saba wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, wamejumuishwa kwenye kikosi kipya cha wachezaji 26 wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kilichotangazwa jana na Kocha Mkuu, Salum Mayanga.

Kwa idadi hiyo ya wachezaji, inaifanya Azam FC kuwa miongoni mwa timu mbili zilizotoa wachezaji wengi katika kikosi hicho, ikilingana na Simba ambayo nayo imetoa wachezaji saba, huku kwa upande wa Yanga wakiitwa wanne tu.

Katika kikosi hicho kitakachoingia kambini Machi...

Mar 12, 2017 11:02pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeutumia vema uwanja wake wa nyumbani wa Azam Complex baada ya kuichapa Mbabane Swallows ya Swaziland bao 1-0, katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Shujaa wa Azam FC leo katika mchezo huo wa ruandi ya kwanza ya michuano hiyo, alikuwa ni winga wa timu hiyo Ramadhan Singano ‘Messi’, aliyefunga bao pekee dakika ya 84 akitumia vema pasi ya Shaaban Idd.

Bao hilo linamfanya Singano kuwa ndiye mchezaji aliyefunga la kwanza la...

Mar 11, 2017 06:01pm

BAADA ya maandalizi ya takribani sita, hatimaye wakati umewadia, ambapo kesho Jumapili Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itaanza kampeni ya kusaka hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika pale itakapokuwa ikiivaa Mbabane Swallows ya Swaziland, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex saa 1.15 usiku.

Azam FC itaingia kwenye mchezo huo wa raundi ya kwanza wa michuano hiyo ikiwa na morali kubwa baada ya kujikusanyia matokeo bora katika mechi walizocheza mwaka...

Mar 09, 2017 03:24pm

UMESHANUNUA tiketi yako? Kama hujafanya hivyo bado haujachelewa, unachotakiwa kufanya hivi sasa ni kuingia kwenye mtandao wa Kampuni ya Selcom na kujinunulia tiketi yako mapema na kuweza kupata nafasi ya kuishuhudia Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, ikivaana na Mbabane Swallows ya Swaziland.

Mchezo huo wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika, utafanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam Jumapili hii saa 1.15 usiku, ambapo tiketi hizo za...

Back to Top