BAADA ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kutinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup), Kocha Msaidizi, Idd Nassor Cheche, amewaambia mashabiki kuwa mambo mazuri yakuja zaidi hivyo wakae mkao wa kula.

Feb 25, 2017 01:03pm

BAADA ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kutinga robo fainali ya michuano ya...

Feb 24, 2017 08:09pm

BAO pekee lililofungwa na winga Ramadhan Singano ‘Messi’ limetosha kuwaua Mtibwa Sugar na...

Feb 24, 2017 07:52am

BAADA ya maandalizi ya siku kadhaa kujiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, Kocha Mkuu wa...

Feb 25, 2017 01:03pm

BAADA ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kutinga robo fainali ya michuano ya...

Feb 24, 2017 08:09pm

BAO pekee lililofungwa na winga Ramadhan Singano ‘Messi’ limetosha kuwaua Mtibwa Sugar na...

Feb 24, 2017 07:52am

BAADA ya maandalizi ya siku kadhaa kujiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, Kocha Mkuu wa...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

Feb 25, 2017 01:03pm

BAADA ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kutinga robo fainali ya michuano ya...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Nov 11, 2016 10:25pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi wa...

News by Cetegory

Highlight News

Feb 25, 2017 01:03pm

BAADA ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kutinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup), Kocha Msaidizi, Idd Nassor Cheche, amewaambia mashabiki kuwa mambo mazuri yakuja zaidi hivyo wakae mkao wa kula.

Azam FC imetinga hatua hiyo jana jioni baada ya kuichapa Mtibwa Sugar bao 1-0, lililofungwa na winga Ramadhan Singano dakika ya 6 akitumia vema pasi ya Salum Abubakar ‘Sure Boy’ iliyowababatiza mabeki kabla ya mfungaji kuunasa na...

Feb 24, 2017 08:09pm

BAO pekee lililofungwa na winga Ramadhan Singano ‘Messi’ limetosha kuwaua Mtibwa Sugar na kuipeleka Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, katika robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Fedaration Cup).

Mchezo huo uliofanyika katika Uwanja wa Azam Complex, ulikuwa ni mkali na wa aina yake kwa timu zote kuonyeshana upinzani, ambapo Azam FC ilionekana kucheza vema kwa kipindi kirefu kabla ya Mtibwa Sugara kuibuka dakika 20 za mwisho.

Azam FC...

Feb 24, 2017 07:52am

BAADA ya maandalizi ya siku kadhaa kujiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, Aristica Cioaba, ameweka wazi kuwa kikosi chake kipo kamili kuelekea mtanange huo.

Mchezo huo wa hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) utafanyika leo Ijumaa ndani ya Uwanja wa Azam Complex kuanzia saa 10.30 jioni.

Akizungumza na mtandao rasmi wa klabu www.azamfc...

Feb 23, 2017 04:27pm

KESHO ndio kesho ndani ya Uwanja wa Azam Complex, utashuhudiwa mchezo mkali wa hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) baina ya wenyeji Azam FC na Mtibwa Sugar, utakaoanza saa 10.30 jioni

Mabingwa hao wanaoshikilia mataji matatu; la Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Kagame Cup), Ngao ya Jamii na Kombe la Mapinduzi, hivi sasa wapo kwenye maandalizi makali kujiandaa na mchezo huo, ambao wanauchukulia kwa uzito mkubwa.

Hii ni mara ya kwanza...

Feb 21, 2017 04:07pm

BENCHI la kitabibu la Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, limeweka wazi hali za maendeleo ya wachezaji wawili waliomajeruhi hivi sasa, nahodha John Bocco ‘Adebayor’ na kiungo Stephan Kingue.

Nyota hao wawili wa Azam FC wanasumbuliwa na majeraha ya kuchanika misuli ya nyama za paja, lakini wote tayari wameshaanza mazoezi mepesi.

Wakati Bocco akianza mazoezi mepesi jana jioni, Kingue tayari ameanza programu ya mazoezi madogo madogo ya ‘gym’ na ya kukimbia kiasi...

Feb 21, 2017 12:58am

USIKU wa kuamkia jana ulikuwa mzuri kwa kiungo wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, baada ya kuifungia timu moja ya mabao katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Mwadui katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Sure Boy alifunga bao hilo dakika ya 24 kwa shuti la umbali wa takribani mita 25 lililomshinda kipa wa Mwadui, Shaaban Kado na kuipa uongozi timu hiyo huku bao la pili likiwa ni la kujifunga kwa beki Iddy Moby, kufuatia mpira...

Feb 19, 2017 10:43pm

IKICHEZA soka la hali ya juu, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeibuka kidedea baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mwadui katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) uliofanyika Uwanja wa Azam Complex usiku huu.

Huo ni mwendelezo wa matokeo mazuri kwa timu hiyo tokea mwaka huu uanze, ambapo hivi sasa imefikisha jumla ya pointi 41 katika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi ikizidiwa pointi 10 na kinara Simba yenye pointi 51 ambayo ina...

Feb 19, 2017 05:09am

SASA ni wazi kuwa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki itacheza dhidi ya Mbabane Swallows Swaziland katika mchezo wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika (CC) utakaofanyika mwezi ujao.

Azam FC inakutana na timu hiyo baada ya Waswaziland hao kuwatoa Orapa United ya Botswana kwa mikwaju ya penalty 3-2 katika mchezo wa marudiano wa raundi ya awali uliofanyika kwenye Uwanja wa Mbabane nchini Swaziland.

Mchezo huo ulilazimika kwenda hatua ya changamoto ya mikwaju ya penalti...

Feb 19, 2017 02:47am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kesho Jumapili inatarajia kushuka tena dimbani kuvaana na Mwadui katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam saa 1.00 usiku.

Mabingwa hao wa Ngao ya Jamii na Kombe la Mapinduzi msimu huu, wamekuwa wakifanya maandalizi makali kuelekea mchezo huo yote hayo ni kuhakikisha inazoa pointi zote tatu ili kuzidi kujiongezea pointi, ambapo mpaka sasa imejikusanyia 38...

Feb 16, 2017 02:09pm

BAADA ya kupata kibali cha kufanya kazi nchini juzi, Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba, amejinasibu ya kuwa yeye ni aina ya kocha anayependa falsafa ya soka la kushambuliaji na sio kujilinda.

Cioaba aliyesaini mkataba wa kuinoa Azam FC mwezi mmoja na nusu uliopita, wakati ilipokuwa ikishiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi na kutwaa taji hilo, ameweka wazi hayo mara baada ya jana kuiongoza timu hiyo kwa mara ya kwanza akiwa benchini katika...

Feb 16, 2017 05:00pm

KOCHA Mkuu wa Mabingwa wa zamani wa Zambia Red Arrows, Honor Janza, ameitabiria makubwa Azam FC kufika mbali kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika mwaka huu.

Kauli ya Kocha huyo wa zamani wa timu ya Taifa ya Zambia ‘Chipolopolo’, imekuja saa chache mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa kimataifa wa kirafiki baina ya timu hizo, uliomalizika kwa Azam FC kushinda bao 1-0.

“Azam FC kiufundi ipo vizuri wanaweza kwenda mbele, kwangu mimi nawatakia mafanikio mema, kwa sababu...

Feb 16, 2017 03:43am

BAO pekee la Azam FC lililowekwa kimiani na beki Abdallah Kheri, limetosha kabisa kuizima Red Arrows ya Zambia katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliomalizika usiku huu kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Wakati Azam FC ikiutumia mchezo huo kama maandalizi kuelekea mechi yake ya raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika, Arrows iliyoweka kambi hapa nchini yenyewe imeutumia mtanange huo kama kipimo tosha kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu Zambia.

Azam FC...

Back to Top