KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kesho Jumamosi inatarajia kushuka dimbani kupambana na Mbeya City katika mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya msimu ujao.

Jul 21, 2017 01:59pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kesho Jumamosi inatarajia kushuka dimbani...

Jul 19, 2017 12:00pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kinatarajia kuelekea mkoani Mbeya...

Jul 17, 2017 06:06pm

KIPA mpya wa Azam FC, Benedict Haule, anaamini ya kuwa kujituma, kutokata tamaa, kuwatii makocha...

Jul 21, 2017 01:59pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kesho Jumamosi inatarajia kushuka dimbani...

Mar 12, 2017 11:02pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeutumia vema uwanja wake wa nyumbani wa...

Jun 24, 2015 02:13pm

Kikosi cha timu ya veteran ya Azam FC

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

Jul 21, 2017 01:59pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kesho Jumamosi inatarajia kushuka dimbani...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

Nov 11, 2016 10:25pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi wa...

News by Cetegory

Highlight News

Jul 21, 2017 01:59pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kesho Jumamosi inatarajia kushuka dimbani kupambana na Mbeya City katika mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya msimu ujao.

Tayari kikosi hicho kimeshawasili mjini Mbeya saa 4.00 usiku jana kikiwa na msafara wa wachezaji 26, kwa ajili ya mchezo huo utakaofanyika Uwanja wa Sokoine, mjini humo.

Mara baada ya mchezo huo, Julai 23 mwaka huu kikosi hicho kitaelekea mkoani Njombe, kukipiga na Njombe Mji mtanange utakaofanyika Uwanja wa...

Jul 19, 2017 12:00pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kinatarajia kuelekea mkoani Mbeya kesho Alhamisi, tayari kabisa kuvaana na wenyeji wao Mbeya City Jumamosi ijayo katika Uwanja wa Sokoine.

Mchezo huo wa kirafiki ni maalumu kwa ajili ya Mbeya City kutambulisha jezi zao za msimu ujao kwa mashabiki wake.

Azam FC inautumia mwaliko huo kujiandaa vema kulekea msimu ujao, ambapo mbali na mchezo huo pia itaelekea katika mikoa mingine miwili ya Nyanda za Juu Kusini, Njombe...

Jul 17, 2017 06:06pm

KIPA mpya wa Azam FC, Benedict Haule, anaamini ya kuwa kujituma, kutokata tamaa, kuwatii makocha na viongozi, ndio vitu muhimu vilivyombeba mpaka kufikia kiwango alichonacho na kurejea kwenye timu hiyo.

Haule aliyechezea kikosi cha Mbao msimu uliopita, amerejea tena Azam FC kwenye kipindi hiki cha usajili, timu aliyoikacha miaka mitatu iliyopita akiwa kwenye academy ya timu hiyo na kujiunga na Panone ya mkoani Kilimanjaro. 

Akifanya mahojiano maalumu na mtandao wa klabu...

Jul 16, 2017 02:06pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo imeendesha zoezi la kuwapima afya wachezaji wake, benchi la ufundi pamoja na viongozi.

Azam FC imekuwa na utaratibu wa kuwapima afya kwenye maeneo mbalimbali ya mwili wachezaji wake kabla ya kuanza msimu ili kujua kama kuna nyota yoyote ana matatizo kabla ya kuingia kwenye mashindano.

Zoezi hilo limeendeshwa na jopo la utabibu la klabu hiyo chini ya daktari Mwanandi Mwankemwa na Twalib Mbaraka kwa kushirikiana na Kampuni ya...

Jul 15, 2017 03:13pm

TIMU ya vijana chini ya umri wa miaka 13 ya Azam FC (Azam U-13) imezidi kufanya kweli kwenye Ligi ya Vijana ya Azam (Azam Youth League U-13) baada ya kuichapa Rendis Academy mabao 2-1 katika muendelezo wa michuano hiyo leo.

Huo ni ushindi wa pili mfululizo baada ya kutoka kufungwa mabao 3-0 na Bom Bom SC wiki tatu zilizopita kabla ya kuichapa Ilala Academy 2-0 wikiendi iliyopita.

Michuano hiyo iliyoanza kutimua vumbi Mei 26 mwaka huu kwenye Uwanja wa Azam Complex, imefikisha...

Jul 14, 2017 10:34pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, anaamini kuwa Rais mpya ajaye wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ataipa nafasi timu hiyo kuutumia uwanja wake wa nyumbani wa Azam Complex katika mechi za nyumbani dhidi ya Simba na Yanga.

Tangu Klabu hiyo Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati ianze kuutumia uwanja wake huo, imekuwa ikinyimwa fursa na TFF kuutumia uwanja wake huo wa nyumbani pindi inapocheza na Simba na Yanga, ambapo imekuwa ikizichezea Uwanja wa Taifa au ule wa Uhuru.

TFF...

Jul 14, 2017 05:52pm

BENCHI la Utabibu la Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, limetoa ripoti ya majeraha ya washambuliaji Shaaban Idd na Mbaraka Yusuph, inayoeleza kuwa wanatakiwa kukaa nje ya dimba kwa muda wiki tatu zijazo.

Wachezaji hao waliokuwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kilichokuwa kikishiriki michuano ya COSAFA nchini Afrika Kusini iliyomalizika hivi karibuni.

Akizungumza na mtandao rasmi wa klabu www.azamfc.co....

Jul 14, 2017 12:22pm

DOZI mwanzo mwisho! Hivyo ndivyo unavyoweza kuyaelezea mazoezi ya Azam FC ya kujiandaa na msimu ujao, ambapo imeanza kujifua kwa staili ya aina yake kwa wachezaji kupewa dozi mara tatu kwa siku.

Huo ni mwendelezo wa mazoezi ya Azam FC tokea ilipoanza maandalizi ya msimu mpya Mei 28 mwaka huu, ikiwa na kikosi chenye sura mpya za wachezaji wengi vijana wenye vipaji vya hali ya juu na baadhi wakiwa ni wazoefu.

Mazoezi hayo ni maalumu kabisa katika kipindi hiki cha maandalizi ya...

Jul 12, 2017 11:59pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kuanza rasmi mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu ujao kwa kuanzia ugenini ikivaana na Ndanda katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara Agosti 26, mwaka huu.

Pazia hilo la ligi litafunguliwa kwa mechi ya Ngao ya Jamii, baina ya Yanga waliokuwa mabingwa wa ligi msimu uliopita na mabingwa wa Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC), Simba, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Agosti 23 mwaka...

Jul 12, 2017 10:44am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inaendelea kujiweka sawa kuelekea msimu ujao, habari njema ni kuwa imealikwa kwenye mikoa ya Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Iringa na Njombe) kucheza mechi tatu za kirafiki.

Azam FC inakwenda huko baada ya kupewa mwaliko maalumu na timu ya Mbeya City ya jijini Mbeya, ambayo itacheza nayo mchezo maalumu wa kirafiki utakaofanyika Uwanja wa Sokoine Julai 22 mwaka huu.

Mara baada ya mchezo huo, Azam FC itaelekea mkoani Njombe...

Jul 11, 2017 01:53pm

MARA baada ya kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kuwasili jijini Dar es Salaam jana usiku kikitokea nchini Rwanda, wachezaji wamepewa mapumziko ya siku moja kwa ajili kuondoa uchovu kabla ya kesho Jumatano kuendelea na maandalizi ya msimu mpya 2017-18.

Kikosi hicho kilikwenda jijini Kigali nchini humo kwa ajili ya kwenda kusherehesha ubingwa wa Ligi Kuu ya nchi hiyo (Azam Rwanda Premier League) walioutwaa Rayon Sports kwa kucheza nao mechi maalumu ya...

Jul 09, 2017 01:07pm

LICHA ya kupoteza kwa mabao 4-2 dhidi ya Rayon Sports, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefanikiwa kuwafurahisha mashabiki wa soka nchini Rwanda kutokana na kiwango kizuri ilichokionyesha jana jioni katika Uwanja wa Nyamirambo jijini Kigali.

Azam FC ambayo ndio kwanza imeanza maandalizi ya msimu ujao kwa kufanya mazoezi takribani siku nane, ilisheheni kikosi chenye wachezaji wengi wapya katika kila idara lakini iliweza kuwaonyesha ushindani wa kweli mabingwa hao wa...

Back to Top