KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, asubuhi hii imewafunza soka timu yake ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ‘Azam U-20’ baada ya kuifunga mabao 5-0 katika mchezo wa kirafiki wa mazoezi uliofanyika Uwanja wa Azam Complex.

Oct 16, 2018 12:02pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, asubuhi hii imewafunza soka timu yake ya...

Oct 14, 2018 01:43pm

WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) ikiwa imesimama, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati,...

Oct 11, 2018 05:55pm

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwankyembe, leo alifanya ziara ya...

Oct 16, 2018 12:02pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, asubuhi hii imewafunza soka timu yake ya...

Oct 14, 2018 01:43pm

WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) ikiwa imesimama, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati,...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

Oct 16, 2018 12:02pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, asubuhi hii imewafunza soka timu yake ya...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

Nov 11, 2016 10:25pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi wa...

News by Cetegory

Highlight News

Oct 16, 2018 12:02pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, asubuhi hii imewafunza soka timu yake ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ‘Azam U-20’ baada ya kuifunga mabao 5-0 katika mchezo wa kirafiki wa mazoezi uliofanyika Uwanja wa Azam Complex.

Azam FC ni kama imelipa kisasi kwa madogo zao kwani Jumamosi iliyopita zilicheza katika mchezo wa kwanza wa kirafiki na Azam U-20 kushinda mabao 3-2 kabla ya kurudiana leo.

Benchi la ufundi la Azam FC chini ya Mholanzi Hans Van Der Pluijm,...

Oct 14, 2018 01:43pm

WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) ikiwa imesimama, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeonekana kuwa na rekodi ya aina yake miongoni mwa timu shiriki.

Ligi hiyo imesimama kupisha mechi za kufuzu Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Cameroon, timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ikitarajia kumenyana na Cape Verde, ikicheza ugenini juzi kabla ya kurudiana nao keshokutwa Jumanne.

Azam FC imefanya mambo makubwa hadi sasa, ikiwa ipo kileleni mwa msimamo wa...

Oct 11, 2018 05:55pm

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwankyembe, leo alifanya ziara ya kutembelea Makao Makuu ya Azam FC ‘Azam Complex’ na kukiri kuwa timu hiyo ni kiwanda cha soka nchini.

Ziara hiyo ya Mwakyembe ilikuwa ni maalumu kwa ajili ya kuangalia Azam FC ilipofikia kwenye uboreshaji wa uwanja huo ikiwa ni maandalizi ya kuelekea fainali za Mataifa ya Afrika kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U-17) zitakazofanyika nchini mwakani.

Uwanja wa Azam Complex ni...

Oct 10, 2018 03:20pm

NYOTA wawili wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Nahodha Msaidizi Frank Domayo ‘Chumvi’ na mshambuliaji Paul Peter, wameondoka jijini Dar es Salaam leo mchana kuelekea nchini Afrika Kusini kwa matibabu.

Domayo na Peter wamepata majeraha ya goti, kiungo huyo akiumia hivi karibuni akiwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ iliyokuwa ikifanya maandalizi ya kuvaana na Cape Verde huku mshambuliaji huyo naye akiumia miezi michache iliyopita akiwa na timu ya Taifa...

Oct 09, 2018 09:26pm

WAKATI kikosi cha Azam FC kikirejea kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Juma Mwambusi, amesema kuwa wanategemea mambo makubwa zaidi huko mbele.

Azam FC imekaa kileleni baada ya kuichapa Coastal Union mabao 2-0 na kufikisha jumla ya pointi 18 huku ikiwa imecheza mechi nane za ligi hiyo ikishinda tano na sare tatu.

Mwambusi ameuambia mtandao rasmi wa klabu www.azamfc.co.tz kuwa licha ya...

Oct 09, 2018 07:18pm

BAADA ya kufungua akaunti ya mabao akiwa na jezi ya Azam FC jana, mshambuliaji Donald Ngoma, amejinasibu ya kuwa kufunga ni kawaida yake.

Ngoma alifunga bao hilo dakika ya 28 na kuiongoza Azam FC kuichapa Coastal Union mabao 2-0 katika mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), bao jingine likiwekwa kimiani na Danny Lyanga, aliyeingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Mzimbabwe huyo.

Akizungumza na mtandao rasmi wa klabu www.azamfc.co.tz...

Oct 08, 2018 10:41pm

USHINDI wa mabao 2-0 ilioupata Azam FC dhidi ya Coastal Union usiku huu, umeifanya kukamata usukani wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL).

Azam FC imekaa kileleni baada ya kufikisha jumla ya pointi 18, zilizotokana na ushindi wa mechi tano na sare tatu huku ikiwa haijapoteza mchezo hata mmoja.

Alikuwa ni mshambuliaji Donald Ngoma, aliyeifyungulia ukurasa wa mabao Azam FC akifunga dakika ya 28 akitumia pasi safi ya kiungo Mudathir Yahya.

Bao hilo linamfanya Ngoma, kufungua...

Oct 07, 2018 05:12pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kipo tayari kwa mapambano dhidi ya Coastal Union, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex kesho Jumatatu saa 1.00 usiku.

Mchezo huo ni muhimu kwa Azam FC ambayo ushindi wowote utaifanya kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi ikifikisha jumla ya pointi 18.

Wachezaji wote wa mabingwa hao wapo fiti kuelekea mchezo huo, unaotarajia kuwa mkali na wa aina yake kutokana na Coastal...

Oct 06, 2018 11:19am

ZIMEBAKIA siku mbili kabla ya kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, hakijavaana na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL).

Kuelekea mchezo huo utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, Jumatatu ijayo saa 1.00 usiku, tunakuletea takwimu mbalimbali katika namba kuhusu mechi za timu hizo zilipokutana kwenye ligi hiyo.

Rekodi katika namba

10: Ni idadi ya mechi zote zilipokutana timu hizo kwenye mechi...

Oct 04, 2018 10:02am

BAADA ya kuipa timu yake ushindi dhidi ya Tanzania Prisons, mshambuliaji wa Azam FC, Yahya Zayd, amesema anaamini kuwa kuna kitu kimeongezeka kwa upande wake kilichomshawishi kocha amuanzishe kwenye mchezo huo.

Bao hilo linamfanya Zayd kufunga bao lake la kwanza msimu huu katika mechi yake ya kwanza kuanza kikosini msimu huu, akionekana kutengeneza kombinesheni nzuri na Donald Ngoma.

Zayd ameuambia mtandao rasmi wa klabu www.azamfc.co.tz...

Oct 03, 2018 04:54pm

BAADA ya kuichapa Tanzania Prisons usiku wa kuamkia leo, Kocha Mkuu wa Azam FC, Hans Van Der Pluijm, amewapa ujanja nyota wake wa kutilia mkazo mechi zote zijazo za Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) kuhakikisha wanashinda.

Azam FC imerejea nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikifikisha pointi 15 baada ya kuichapa Prisons bao 1-0 lililofungwa na Yahya Zayd, ukiwa ni ushindi wake wa nne kwenye msimu huu wa ligi katika mechi saba ilizocheza hadi sasa, mechi nyingine tatu ikitoka sare.

...
Oct 02, 2018 10:37pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefanya kweli usiku huu baada ya kuichapa Tanzania Prisons bao 1-0, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika Uwanja wa Azam Complex.

Ushindi huo unaifanya Azam FC kusogea hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikifikisha pointi 15 ikizidiwa pointi moja na Mtibwa Sugar yenye 16, ambayo imecheza mchezo mmoja zaidi.

Mchezo huo ulikuwa mkali na wa aina yake, timu zote zikicheza kwa kasi lakini Azam FC...

Back to Top