KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, siku 12 zijazo kitakuwa na mchezo muhimu wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho (Azan Sports Federation Cup) dhidi ya Kagera Sugar utakaofanyika Uwanja wa Kaitaba, mkoani Kagera Machi 29 mwaka huu.

Mar 17, 2019 08:03pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, siku 12 zijazo kitakuwa na mchezo...

Mar 16, 2019 12:04am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeendeleza dozi nene baada ya kuichapa...

Mar 14, 2019 11:38pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kipo vizuri kabisa kuelekea mchezo...

Mar 17, 2019 08:03pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, siku 12 zijazo kitakuwa na mchezo...

Mar 16, 2019 12:04am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeendeleza dozi nene baada ya kuichapa...

Mar 14, 2019 11:38pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kipo vizuri kabisa kuelekea mchezo...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

Mar 17, 2019 08:03pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, siku 12 zijazo kitakuwa na mchezo...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

Nov 11, 2016 10:25pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi wa...

News by Cetegory

Highlight News

Mar 17, 2019 08:03pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, siku 12 zijazo kitakuwa na mchezo muhimu wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho (Azan Sports Federation Cup) dhidi ya Kagera Sugar utakaofanyika Uwanja wa Kaitaba, mkoani Kagera Machi 29 mwaka huu.

Kwa kutambua umuhimu wa mechi za Kombe la FA, benchi la ufundi la timu hiyo limeweka wazi kuwa watacheza kama fainali mechi zote za michuano hiyo ili kutimiza adhma ya kufika fainali na kutwaa taji hilo na kushiriki...

Mar 16, 2019 12:04am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeendeleza dozi nene baada ya kuichapa Singida United mabao 4-0.

Mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) umefanyika Uwanja wa Azam Complex, ushindi huo umeifanya Azam FC kufikisha jumla ya pointi 62 katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikizidiwa pointi nane na Yanga iliyo kileleni kwa pointi 70.

Matajiri hao kabla ya kuongeza ushindi huo mnono, walitoka kuichapa JKT Tanzania mabao 6-1 kwenye mchezo uliopita, ukiwa...

Mar 14, 2019 11:38pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kipo vizuri kabisa kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) dhidi ya Singida United, utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex kesho Ijumaa saa 1.00 usiku.

Azam FC inaingia kwenye mchezo huo ikiwa na morali ya hali ya juu baada ya kutoka kuichapa JKT Tanzania mabao 6-1 huku wapinzani wao Singida wakitoka kupoteza bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar juzi Jumanne.

Wachezaji wako kwenye hali nzuri kabisa tayari kwa mchezo...

Mar 14, 2019 06:20pm

MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Donald Ngoma, amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia timu hiyo.

Nyota huyo raia wa Zimbabwe, alijiunga Azam FC msimu huu Juni mwaka jana kwa mkataba wa mwaka mmoja uliokuwa unamalizika mwishoni mwa msimu huu, hivyo kwa kusaini kandarasi hiyo mpya ataendelea kubakia hadi Juni 2020.

Ngoma, aliyekosa mechi za mwanzo wa ligi baada ya kuwa majeruhi wa muda mrefu, hadi sasa ni miongoni mwa wafungaji...

Mar 11, 2019 04:44pm

MCHEZO wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) kati ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC na Singida United, uliokuwa ufanyike Jumamosi hii, sasa utapigwa Ijumaa hii kwenye Uwanja wa Azam Complex saa 1.00 usiku.

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB), imefanya mabadiliko hayo kutokana na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, kati ya Simba na AS Vita ya Congo kufanyika Jumamosi hii kwenye muda sawa na ule ambao mechi ya Azam FC dhidi ya Singida ingefanyika.

Katika kujiandaa...

Mar 09, 2019 05:06pm

BAADA ya kuichapa JKT Tanzania mabao 6-1, Kocha wa muda wa Azam FC, Idd Nassor Cheche, amesema kuwa timu hiyo ina matokeo mazuri hivi sasa kutokana na kufanikiwa kucheza na akili za wachezaji.

Azam FC imeibuka na ushindi usiku wa jana, ukiwa ni ushindi mnono wa pili wa mabao zaidi ya mabao matano kuwahi kuupata kwenye ligi hiyo, awali iliwahi kuipiga Villa Squad mabao 6-2 msimu wa 2008/2009.

Mabao ya Azam FC jana yamewekwa kimiani na mshambuliaji Donald Ngoma, aliyetupia mawili...

Mar 09, 2019 02:39am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefanya mauaji ya nguvu baada ya kuichapa JKT Tanzania mabao 6-1, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Huo ni ushindi wa pili wa kihistoria kwa Azam FC kwenye ligi ikishinda zaidi ya mabao matano, wa kwanza ukiwa ni ule waliipiga Villa Squad mabao 6-2 kwenye msimu wake wa kwanza Ligi Kuu 2008/2009.

Mara ya mwisho kupata ushindi mnono, ilikuwa ni msimu 2014/...

Mar 07, 2019 03:30pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itaingia vitani kuwania pointi tatu muhimu kwa kuvaana na JKT Tanzania, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex kesho Ijumaa saa 1.00 usiku.

Mchezo huo wa raundi ya 30, unatarajia kuwa mkali na aina yake, kikosi cha Azam FC kikiwa kwenye hali nzuri kabisa hadi sasa kikiwa kimejikusanyia pointi 53 katika nafasi ya pili kikizidiwa pointi na 11 na kinara Yanga aliyekuwa nazo 64.

Wakati...

Mar 06, 2019 02:42pm

IMESHAJULIKANA sasa kuwa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakutana na Kagera Sugar kwenye hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) ikifanyika Uwanja wa Kaitaba, Bukoba, Kagera.

Droo ya hatua hiyo, nusu fainali na fainali imepangwa leo asubuhi kwenye ofisi za wadhamini wakuu wa michuano hiyo, Azam Media, ambapo mechi za robo fainali zitapigwa kati ya Machi 26 na 31 mwaka huu.

Mechi nyingine za robo fainali zitahusisha, KMC...

Mar 05, 2019 03:05pm

UONGOZI wa Azam FC, umetuma maombi kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya kutumia Uwanja wa Nyamagana katika mchezo wake wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) dhidi ya Kagera Sugar utakaofanyika Aprili 3 mwaka huu.

Klabu hiyo Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, imechukua uamuzi huo kutokana na Uwanja wake wa nyumbani, Azam Complex kuwa mbioni kufungwa baada ya mchezo wake wa mwisho Machi 16 dhidi ya Singida United.

Uwanja huo unafungwa kupisha maandalizi ya Fainali za...

Mar 02, 2019 08:19pm

BENCHI la ufundi la muda la Azam FC kwa sasa linafanya kazi kubwa ya kurudisha aina ya mpira uliozoeleka kwenye timu hiyo wa kucheza soka la pasi na kasi uwanjani.

Kwa muda wa wiki moja sasa, kikosi cha timu hiyo kipo chini ya makocha wa muda Meja Mstaafu, Abdul Mingange na Idd Nassor Cheche, wakishika nafasi hizo baada ya kustitishiwa mikataba kwa makocha Hans Van Der Pluijm na Msaidizi wake, Juma Mwambusi.

Wawili hao jana waliiongoza Azam FC kwenye mchezo wa pili tokea...

Mar 01, 2019 08:34pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeendelea kufanya kweli baada ya kuichapa African Lyon mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam leo jioni.

Ushindi huo unaifanya Azam FC kufikisha jumla ya pointi 53 ikibakia nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi, ikizidiwa pointi nane na kinara Yanga mwenye pointi 61 huku akiwa na mchezo mmoja mkononi, Simba iliyocheza mechi 19 ikiwa nafasi ya tatu baada ya kujikusanyia 48....

Back to Top