KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, usiku huu imeichapa Friends Rangers mabao 6-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Azam complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Sep 20, 2017 10:06pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, usiku huu imeichapa Friends Rangers mabao 6-0...

Sep 19, 2017 05:29pm

NAHODHA Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Agrey Moris, amesema kuwa...

Sep 18, 2017 03:00pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo asubuhi kimeanza rasmi mazoezi...

Sep 20, 2017 10:06pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, usiku huu imeichapa Friends Rangers mabao 6-0...

Sep 19, 2017 05:29pm

NAHODHA Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Agrey Moris, amesema kuwa...

Sep 18, 2017 03:00pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo asubuhi kimeanza rasmi mazoezi...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

Sep 20, 2017 10:06pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, usiku huu imeichapa Friends Rangers mabao 6-0...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

Nov 11, 2016 10:25pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi wa...

News by Cetegory

Highlight News

Sep 20, 2017 10:06pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, usiku huu imeichapa Friends Rangers mabao 6-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Azam complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Mchezo huo ulikuwa ni maalum kwa jili ya kuwaweka kwenye ushindani wachezaji huku pia ukiwa wa maandalizi kuelekea mtanange ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Lipuli utakaofanyika ndani ya dimba hilo Jumapili hii Septemba 24 mwaka huu.

Azam FC ilitakata vilivyo katika kila...

Sep 19, 2017 05:29pm

NAHODHA Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Agrey Moris, amesema kuwa kujitambua na kujitunza ni mambo yanayombeba na kumfanya adumu katika soka kwa miaka 14 sasa.

“Nadhani kubwa katika siri ya mafanikio yangu mpaka kucheza mpira hadi muda huu kwa muda wa miaka 14, moja mchezaji kwanza unatakiwa ujitambue kama wewe ni mchezaji maana ukijitambua kama mchezaji wewe mwenyewe kwanza utakuwa unasikiliza walimu wako kitu wanachotaka.

“Pili mchezaji kama wewe...

Sep 18, 2017 03:00pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo asubuhi kimeanza rasmi mazoezi kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Lipuli ya Iringa.

Mtanange huo utafanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam Jumapili hii Septemba 24 saa 1.00 usiku.

Wachezaji wote wa Azam FC wamerejea mazoezini isipokuwa kipa Benedict Haule, anayesumbuliwa na majeraha ya kidole gumba chake akiungana na majeruhi wengine wa muda mrefu Joseph...

Sep 16, 2017 07:49pm

NAHODHA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’, ameweka wazi kuwa kwa sasa hawaangalii kuwa juu au chini kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Mao amesema kwa sasa wanaangalia malengo ya klabu ya kuuchukulia uzito mchezo hadi mchezo huku akijinasibu ya kuwa watajipanga vema kuhakikisha wanapata matokeo mazuri katika mtanange ujao dhidi ya Lipuli utakaofanyika Septemba 23 mwaka huu.

“Kwanza tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa...

Sep 16, 2017 03:09pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, sasa inakupa fursa shabiki wa timu hiyo ya kuwatunuku wachezaji wako pendwa kila mwezi wakati wa mechi za mashindano.

Tuzo hizo ni maalumu kabisa inayodhaminiwa na Benki ya NMB ambao ni wadhamini wetu wakuu, inayokwenda kwa jina la ‘NMB Player of the Month’, ambayo itatolewa kila mwezi kwa mchezaji bora aliyefanya vizuri kwa mwezi husika.

Kwa kuanza rasmi mchakato, wakati Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) ikiwa imeanza...

Sep 15, 2017 10:19pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefanikiwa kushika usukani wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya kuichapa Kagera Sugar bao 1-0 muda mchache uliopita.

Azam FC inakuwa timu ya tatu kwenye ligi hiyo ukiachana na Simba na Mtibwa Sugar, kufanikiwa kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo msimu huu baada ya kufikisha jumla ya pointi saba.

Bao pekee la Azam FC limefungwa na mshambuliaji Mbaraka Yusuph dakika ya 43 akimalizia pasi ya safi aliyopenyezewa...

Sep 14, 2017 12:48pm

WINGA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Joseph Kimwaga, aliyefanyiwa upasuaji wa goti nchini Afrika Kusini hivi karibuni tayari amerejea nchini jana

Kimwaga ameishukuru mno Bodi ya Wakurugenzi ya timu hiyo kwa moyo wa huruma waliokuwa nao na sapoti wanayotoa kwa wachezaji na hiyo ni kutokana na mpango mzuri waliokuwa nao wa kuwafanyia matibabu wachezaji nje ya nchi pale wanapatwa na matatizo makubwa ya kiafya.

“Ni suala la kuishukuru timu na bodi kwa ujumla...

Sep 13, 2017 06:15pm

KESHOKUTWA Ijumaa saa 1.00 usiku, Uwanja wa Azam Complex utawaka moto pale, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC itakapokuwa ikiwania pointi tatu muhimu itakapopiga na Kagera Sugar kwenye mchezo namba 17 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Tayari kikosi cha Azam FC kinachodhaminiwa na Maji safi ya Uhai Drinking Water, Benki ya NMB na Kampuni ya Tradegents, kimeshaanza maandalizi tokea Jumatatu kujiandaa na mchezo huo, ambao kama wakishinda wanatarajia kukaa kwa...

Sep 11, 2017 11:58pm

KOCHA wa makipa wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Idd Abubakar, amekiri upinzani mkali kwa makipa wake kikosini.

Azam FC ina jumla ya makipa wanne kikosini, Mghana Razak Abalora, Mwadini Ally, Benedict Haule na Metacha Mnata aliyepandishwa, wanaounda kikosi cha timu kubwa kwenye eneo hilo.

Kwa sasa tokea Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) ianze Agosti 26 mwaka huu, Abalora ameonekana kuwa chaguo la kwanza, akiwa mpaka sasa hajaruhusu wavu wake kuguswa...

Sep 10, 2017 07:05pm

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba, amesema kuwa kumuingiza kiungo Frank Domayo, kuliifanya timu hiyo kumiliki mpira kipindi cha pili dhidi ya Simba.

Mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) ulifanyika jana Jumamosi jioni kwa mara ya kwanza katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, jijini Dar es Salaam na kuisha kwa suluhu.

Akizungumza mara baada ya mchezo huo, Cioaba alisema timu zote mbili ziligawana vipindi, akidai...

Sep 09, 2017 08:19pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetoka sare ya bila kufungana dhidi ya Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Huo ni mchezo wa kwanza wa kihistoria kwa timu hiyo kuweza kucheza katika uwanja wake wa nyumbani dhidi ya Simba, ambao ulitawaliwa na amani kwa muda wote wa dakika 90.

Ulikuwa ni mchezo wa kugawana vipindi, ambapo Azam FC ilionekana kutawala kipindi cha pili huku...

Sep 08, 2017 03:02pm

MCHEZO namba 10 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kati ya Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC dhidi ya Simba, sasa utafanyika saa 10.00 jioni badala ya muda awali uliopangwa wa saa 1.00 usiku kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limebadilisha muda huo kutokana na kuagizwa na Jeshi la Polisi kuipeleka mechi hiyo jioni kutokana na sababu za kiusalama, ikidai ni hatari kufanyika usiku.

Kikosi cha Azam FC...

Back to Top