NAHODHA Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Agrey Moris, amewaambia mashabiki wa timu hiyo watarajie mambo mazuri kuelekea mchezo wa keshokutwa Jumapili dhidi ya Njombe Mji.

Nov 17, 2017 09:53pm

NAHODHA Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Agrey Moris, amewaambia...

Nov 17, 2017 06:58am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha Mama...

Nov 15, 2017 09:09pm

MSAFARA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, umewasili salama mkoani Njombe leo...

Nov 17, 2017 09:53pm

NAHODHA Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Agrey Moris, amewaambia...

Nov 15, 2017 09:09pm

MSAFARA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, umewasili salama mkoani Njombe leo...

Jul 12, 2017 11:59pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kuanza rasmi mbio za kuwania...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

Nov 17, 2017 09:53pm

NAHODHA Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Agrey Moris, amewaambia...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

Nov 11, 2016 10:25pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi wa...

News by Cetegory

Highlight News

Nov 17, 2017 09:53pm

NAHODHA Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Agrey Moris, amewaambia mashabiki wa timu hiyo watarajie mambo mazuri kuelekea mchezo wa keshokutwa Jumapili dhidi ya Njombe Mji.

Mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) unatarajia kufanyika Uwanja wa Sabasaba mkoani Njombe, ambapo Azam FC leo imemaliza mazoezi ya pili tokea iwasili mkoani humo tayari kabisa kufanya maandalizi ya mwisho.

Akizungumza na mtandao rasmi wa klabu...

Nov 17, 2017 06:58am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha Mama yake mzazi, Wazir Junior, kilichotokea usiku wa kuamkia leo Lushoto mkoani Tanga.

Kutokana na msiba huo mzito kwa familia ya Junior, mshambuliaji huyo wa Azam FC amesafiri asubuhi hii kutoka Njombe, alipokuwepo na kikosi cha timu hiyo kuelekea Lushoto kuhudhuria mazishi.

Uongozi wa Azam FC kwa niaba ya mashabiki na klabu kwa ujumla, unapenda kutoa salamu za rambirambi kwa ndugu,...

Nov 15, 2017 09:09pm

MSAFARA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, umewasili salama mkoani Njombe leo saa 1 jioni, ukiwa tayari kufanya maandalizi ya mwisho kabla ya kuvaana na Njombe Mji katika mchezo wa raundi 10 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Azam FC imetumia takribani saa 15 kuwasili mkoani humu, ambapo kilianza safari jijini Dar es Salaam saa 10 alfajiri.

Wakati kikosi hicho kikiwasili, taarifa kutoka Bodi la Ligi hiyo, inaeleza kuwa mchezo kati ya wenyeji Njombe...

Nov 13, 2017 07:36pm

KIKOSI cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kipo mguu sawa kuelekea mkoani Njombe kucheza na wenyeji wao Njombe Mji, kikitarajia kuanza safari keshokutwa Jumatano Alfajiri.

Azam FC ipo kamili kabisa kuelekea mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Sabasaba Jumamosi hii, ambapo kikosi hicho kinaendelea na mazoezi makali kwenye viunga vya Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Mabingwa hao wa Ngao ya Jamii na Kombe la...

Nov 11, 2017 02:21pm

WIKI ya tano ya Ligi ya Vijana ya Azam chini ya umri wa miaka 15 (Azam Youth League U-15) imemalizika mchana huu kwa timu za Azam FC, JMK Park na Rendis kufanya kweli.

Mchezo wa kwanza ilishuhudiwa JMK Park ikiendeleza wimbi la ushindi kwenye michuano hiyo baada ya kuichapa Rendis mabao 2-1.

Wenyeji Azam FC walipata ushindi wa chee wa mabao 3-0 dhidi ya Bom Bom, kufuatia timu hiyo kushindwa kukamilisha taratibu za mashindano hayo za kulipia ada ya ushiriki ambayo mwisho wake...

Nov 11, 2017 11:49am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, asubuhi hii imeichapa timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 23 mabao 2-0, katika mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa nyasi za kawaida kwenye viunga vya Azam Complex.

Mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa kwa pande zote mbili, ulikuwa ni mahususi kwa ajili ya kikosi cha Azam FC kujiweka kwenye ushindani ikiwemo maandalizi kuelekea mtanange ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Njombe Mji...

Nov 09, 2017 02:53pm

MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shaaban Idd, anaimani kubwa ya kufanya vizuri atakaporejea tena dimbani ataisaidia timu hiyo huku akimwomba Mwenyezi Mungu amjaalie aweze kurejea vema.

Idd ambaye anasumbuliwa na maumivu ya nyonga yake ya kulia aliyotibiwa kwa kufanyiwa upasuaji nchini Afrika Kusini, na tayari ameshaanza mazoezi madogo madogo ya gym tokea jana tayari kabisa kuanza safari ya kurejea dimbani hivi karibuni.

Mshambuliaji huyo...

Nov 09, 2017 01:01am

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba, amewaomba wachezaji wake kuendeleza hali ya kupambana katika mechi zijazo za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Kikosi cha timu hiyo tayari kinaendelea na mazoezi tokea Jumanne ijayo kujiandaa na mchezo ujao wa ligi dhidi ya Njombe Mji, utakaofanyika Uwanja wa Sabasaba mkoani Njombe Novemba 18, mwaka huu.

Azam FC itaingia kwenye mchezo huo ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo kwa pointi 19...

Nov 07, 2017 07:54pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unapenda kuufahamisha umma kuwa umefikia makubaliano ya kuachana na mshambuliaji raia wa Ghana, Yahaya Mohammed.

Uamuzi huo umefikiwa baada ya makubaliano ya pande zote mbili kufanyika jana na leo, ambapo muda wowote kuanzia sasa Mohammed anatarajiwa kurejea nchini kwao Ghana kuanza maisha mapya ya soka nje ya Azam FC.

Azam FC inamtakia kila la kheri mshambuliaji huyo katika masiha mapya ya soka huko aendako na...

Nov 06, 2017 01:05pm

 

LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) imemaliza raundi ya tisa wikiendi iliyopita huku ikionekana kufikia patamu kutokana na upinzani mkubwa unaoonyeshwa na timu zote shiriki.

Ukweli wa kauli hiyo umedhihirishwa na matokeo yaliyopatikana kwenye raundi hiyo, ambapo ni timu mbili pekee zilizoweza kuibuka na ushindi huku mechi sita zilizobakia zikiisha kwa sare.

Timu zilizoweza kuibuka na ushindi ni Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, iliyoifunga Ruvu...

Nov 05, 2017 09:25pm

MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Yahya Zayd, amewaomba mashabiki wa timu hiyo kushusha presha huku akiwaambia mambo mazuri zaidi yanakuja muda si mrefu.

Kauli ya kinda huyo imekuja muda mchache mara baada ya kufunga bao muhimu usiku wa kuamkia leo, lililoihakikishia pointi tatu muhimu Azam FC wakati ikiichapa Ruvu Shooting bao 1-0 kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Hilo linakuwa ni bao lake la tatu kuifungia Azam FC baada ya...

Nov 04, 2017 10:49pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefanikiwa kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya kuichapa Ruvu Shooting bao 1-0, mchezo uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Azam FC imekaa kileleni baada ya kufikisha jumla ya ponti 19 ilizozipata baada ya kushinda mechi tano na kutoka sare nne, huku ikiwa ndio timu pekee iliyofungwa mabao machache hadi sasa ikiwa imeruhusu nyavu zake kutikiswa mara mbili tu katika...

Back to Top