NI mpambano wa kufa au kupona! Ndio unavyoweza kuielezea hivyo mechi ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) kati ya Azam FC na Simba, itakayofanyika kesho Jumatano saa 1.00 usiku.

Jun 30, 2020 06:05pm

NI mpambano wa kufa au kupona! Ndio unavyoweza kuielezea hivyo mechi ya robo fainali ya Kombe la...

Jun 21, 2020 10:43pm

KLABU ya Azam imeendelea kusalia nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania...

Jun 19, 2020 03:28pm

NI mchuano mkali! Ndivyo unavyoweza kusema hivyo, pale Azam FC itakapokuwa ikivaana na Yanga,...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Oct 18, 2018 08:54am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakuwa kibaruani kupambana na African Lyon...

Jun 28, 2016 01:11pm

KIUNGO wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Jean Baptiste Mugiraneza, tayari...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

Jun 30, 2020 06:05pm

NI mpambano wa kufa au kupona! Ndio unavyoweza kuielezea hivyo mechi ya robo fainali ya Kombe la...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

May 10, 2019 12:50am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imejiongezea pointi moja kwenye msimamo wa...

News by Cetegory

Highlight News

Jun 30, 2020 06:05pm

NI mpambano wa kufa au kupona! Ndio unavyoweza kuielezea hivyo mechi ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) kati ya Azam FC na Simba, itakayofanyika kesho Jumatano saa 1.00 usiku.

Mtanange huo mkali unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa soka nchini, utapigwa kwenye Uwanja wa Taifa, ukitarajia kuamua ni timu ipi kati ya Azam FC na Simba itatinga hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo.

Hii ni mara ya pili kwa timu hizo kukutana kwenye michuano hiyo,...

Jun 21, 2020 10:43pm

KLABU ya Azam imeendelea kusalia nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya kutoka suluhu na mpinzani wake katika nafasi hiyo Yanga.

Suluhu hiyo imeifanya Azam FC kufikisha jumla ya pointi 58 huku Yanga nayo ikijiongezea pointi moja baada ya kufikisha 56, na Simba iliyo kileleni ikiwa nazo 75.

Mchezo huo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ulishuhudiwa ukiwa na matukio kadhaa tata kwenye uamuzi yaliyofanywa na waamuzi...

Jun 19, 2020 03:28pm

NI mchuano mkali! Ndivyo unavyoweza kusema hivyo, pale Azam FC itakapokuwa ikivaana na Yanga, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam keshokutwa Jumapili saa 10.00 jioni.

Mchezo huo unasubiriwa na mashabiki wengi wa soka nchini kutokana na upinzani mkali unaoonyeshwa na timu zote mbili kila zinapokutana.

Timu hizo zilipokutana kwenye mchezo wa raundi ya kwanza, Azam FC ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0.

...
Jun 16, 2020 04:48pm

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Azam, Aristica Cioaba, ameweka wazi kuwa anapenda kushinda mechi ijayo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Yanga.

Mchezo huo unaosubiriwa na mashabiki wengi wa soka nchini, unatarajia kufanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumapili hii, ambapo Azam FC imetoka kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbao juzi Jumapili.

Akizungumza na mtndao rasmi wa klabu www.azamfc.co.tz, Cioaba alisema kuwa atafanyia...

Jun 16, 2020 04:46pm

KLABU ya Azam tunathibitisha kuachana rasmi na aliyekuwa mshambuliaji wetu, Donald Ngoma, baada ya mkataba wake kufikia ukingoni jana Jumapili Juni 14 mwaka huu.

Baada ya makubaliano ya pande zote mbili, hatimaye kila upande umekubaliana kutoendelea na nyongeza ya mkataba mpya baada ya ule wa awali kufikia ukingoni.

Tunathamini mchango wake wote alioutoa kwenye klabu yetu, kwa kufunga mabao yaliyosaidia kuchukua mataji mawili, Kombe la Mapinduzi mwaka jana na Kombe la...

Jun 15, 2020 11:23pm

KIKOSI chetu cha Azam FC kinazidi kukamilika, baada ya kuwapokea wachezaji wawili kutoka Zimbabwe, beki wa kushoto, Bruce Kangwa na kiungo mshambuliaji, Never Tigere leo Jumatatu Juni 15 mwaka huu jioni.

Wachezaji hao walikuwa wamekwama nchini kwao Zimbabwe kutokana na vikwazo vya ugonjwa wa virusi vya Corona, lakini jitihada za uongozi wa Azam FC zimefanikisha wawili hao kuwasili nchini.

Nyota hao wamepokelewa na Meneja wa timu hiyo, Luckson Kakolaki, ambapo kesho Jumanne...

Jun 15, 2020 08:21am

KLABU ya Azam FC imeendelea pale ilipoishia kwenye mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya kuichapa Mbaoa mabao 2-0 jana Jumapili usiku.

Kabla ya ligi hiyo kusimamishwa Machi 17, mwaka huu kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Corona, Azam FC iliichapa Ruvu Shooting mabao 2-1, yote yakifungwa na kiungo mshambuliaji, Never Tigere.

Azam FC kwa ushindi wa jana imefikisha jumla ya pointi 57 katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikiwa nyuma pointi 17...

Jun 13, 2020 02:13pm

KLABU ya Azam kwa kushirikiana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa pamoja wataadhimisha siku ya utoaji damu duniani keshokutwa Jumapili Juni 14 mwaka huu.

Azam FC siku hiyo itakuwa kicheza mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Mbao saa 1.00 usiku, ambapo zoezi la uchangiaji damu litafanyika nje ya viunga vya Azam Complex kuanzia saa 6 mchana.

Ushirikiano huo kati ya Azam FC na TFF, utanogeshwa na mchezo wa kirafiki, utakaohusisha wafanyakazi wa timu...

Jun 12, 2020 11:40am

UONGOZI wa Klabu ya Azam unaendelea na mchakato wa kufanikisha uendeshaji wa timu katika misingi ya kiuweledi.

Mchakato huo unaratibiwa na Wakufunzi wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) na Afrika (CAF), Dr. Henry Tandau (Utawala, FIFA) na Sunday Kayuni (Makocha, CAF).

Wakufunzi hao jana Alhamisi, waliwasilisha uchambuzi wa mchakato huo, mara baada ya kufanya tathimini ya awali, iliyohusisha mahojiano yao binafsi waliofanya na wachezaji, makocha, wafanyakazi na watu wa...

Jun 11, 2020 09:31am

KLABU ya Azam imemaliza programu ya mechi za kirafiki kwa kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya KMC, mchezo uliofanyika Uwanja wa Azam Complex jana Jumatano usiku.

Mchezo huo ni wa pili wa kirafiki baada ya ule wa awali dhidi ya Transit Camp kuisha kwa suluhu, ambapo Azam FC imezitumia mechi hizo kujiandaa na urejeo wa mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Azam FC itaanza patashika za ligi kwa kuchuana na Mbao, mtanange utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex Jumapili hii...

Jun 07, 2020 03:56pm

KLABU ya Azam leo imepokea ugeni mzito ulioongozwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam (RMO), Dkt. Rashid Seif Mfaume.

Dhumuni la ugeni huu lilikuwa kuangalia namna ambayo klabu yetu imejipanga kimiundombinu kuelekea kurejea kwa ligi kuu.

Ugeni huo ulijumuisha Afisa Afya Manispaa ya Temeke, Rehema Sadick,  Afisa Afya Manispaa ya Ilala, Reginald Mlay, pamoja na uongozi wa juu wa Chama cha Soka Mkoa wa Dar Es Salaam (DRFA), ambapo Katibu Mkuu wake, Msanifu Kondo na Mkurugenzi...

Jun 07, 2020 02:38pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, amesema kuwa wachezaji wake hivi sasa wanafurahia kucheza kwenye nyasi mpya za Uwanja wa Azam Complex.

Cioaba ametoa kauli hiyo baada ya mechi ya kwanza ya timu hiyo ndani ya nyasi hizo mpya dhidi ya Transit Camp, iliyofanyika jana Jumamosi usiku na kuisha kwa suluhu.

“Nilikuwa na mazoezi hapa ya wiki moja wakati mwingine wachezaji wengine hawauelewi uwanja, juu ya utofauti huu ni uwanja mpya inahitaji kuuzoea, lakini pia wapinzani nao...

Back to Top