MICHUANO ya vijana chini ya umri wa miaka 13 ya Azam (Azam Youth U-13), imeanza rasmi leo kwa timu zote sita kuchuana ndani ya Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

May 27, 2017 02:40pm

MICHUANO ya vijana chini ya umri wa miaka 13 ya Azam (Azam Youth U-13), imeanza rasmi leo kwa...

May 26, 2017 01:26pm

KIPA Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu huu na nyota wa Azam FC, Aishi Manula...

May 25, 2017 10:14am

KIPA namba moja wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aishi Manula, usiku wa...

May 27, 2017 02:40pm

MICHUANO ya vijana chini ya umri wa miaka 13 ya Azam (Azam Youth U-13), imeanza rasmi leo kwa...

May 26, 2017 01:26pm

KIPA Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu huu na nyota wa Azam FC, Aishi Manula...

May 25, 2017 10:14am

KIPA namba moja wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aishi Manula, usiku wa...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

May 27, 2017 02:40pm

MICHUANO ya vijana chini ya umri wa miaka 13 ya Azam (Azam Youth U-13), imeanza rasmi leo kwa...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

Nov 11, 2016 10:25pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi wa...

News by Cetegory

Highlight News

May 27, 2017 02:40pm

MICHUANO ya vijana chini ya umri wa miaka 13 ya Azam (Azam Youth U-13), imeanza rasmi leo kwa timu zote sita kuchuana ndani ya Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Timu hizo zinazoshiriki michuano hiyo ni wenyeji Azam FC U-13, Rendis Academy U-13, JMK Park Academy U-13, Magnet Youth U-13, Bom Bom SC U-13 na Ilala Academy U-13, ambazo zitakuwa zikipapatuana katika wiki 10 za mashindano hayo hadi Julai 29 mwaka huu.

Wenyeji wa Azam FC U-13 wameanza vibaya michuano hiyo...

May 26, 2017 01:26pm

KIPA Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu huu na nyota wa Azam FC, Aishi Manula, amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kufuatia taarifa zinazoenezwa kuwa tayari amesaini Simba kwa ajili ya msimu ujao.

Kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram, Manula amewaambia mashabiki wa timu hiyo kuwa bado ana mkataba na Azam FC utakaomalizika Julai mwaka huu, na hivi sasa yupo kwenye mazungumzo na viongozi wa Azam FC juu ya kuuongeza.

Kipa huyo namba moja wa...

May 25, 2017 10:14am

KIPA namba moja wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aishi Manula, usiku wa kuamkia leo amefanikiwa kutwaa Tuzo ya Kipa Bora wa msimu huu (2016/17).

Mbali na kipa huyo kutwaa hiyo, pia ameingia kwenye kikosi bora cha msimu sambamba na beki kisiki wa kati wa timu hiyo, Yakubu Mohammed, huku mshambuliaji Shaaban Idd, akibeba Tuzo ya Ismail Khalfan U-20.

Aishi katika kipengele hicho aliwabwaga makipa wenzake, Juma Kaseja (Kagera Sugar) na Owen Chaima (Mbeya City),...

May 24, 2017 11:06am

WINGA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, aliyeko kwa mkopo kwenye timu ya CD Tenerife ya Hispania, Farid Mussa, tayari amemaliza msimu akiwa katika timu ya vijana huku mambo yakionekana kumwendea vema baada ya kufanya vizuri.

Farid alijiunga na kikosi cha timu hiyo Desemba mwaka jana baada ya kumaliza taratibu zote za kujiunga na Tenerife, ambayo kwa sasa inapigana kwenye mechi za mwisho za mtoano (play off) ili kupata nafasi ya kupanda katika Ligi Kuu Hispania (La...

May 23, 2017 02:13pm

HAFLA ya utoaji tuzo kwa wachezaji bora waliofanya vizuri kwenye Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2016/17 uliomalizika wikiendi iliyopita, inatarajia  kufanyika kesho Jumatano Mei 24 mwaka huu katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

Katika tukio hilo, wachezaji watatu wa kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, wanatarajia kuwa miongoni mwa nyota watakaowania tuzo katika vipengele mbalimbali vilivyoainishwa, ambao ni kipa bora kwa sasa nchini Aishi Manula...

May 21, 2017 12:23pm

PAZIA la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2016/17 limefungwa rasmi jana, huku Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, ikimaliza katika nafasi ya nne kwa pointi 52.

Azam FC imemaliza katika nafasi hiyo baada ya kupoteza mchezo wa mwisho wa ligi kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar jana, ukiwa ni ushindi wa kwanza wa timu hiyo kwenye Uwanja wa Azam Complex dhidi ya matajiri hao.

Hii ni mara ya kwanza kwa Azam FC kupoteza ndani ya uwanja wake wa...

May 19, 2017 03:07pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kufanya ziara maalumu ya siku tano mkoani Arusha ikitarajiwa kuelekea huko Mei 24 na kurejea Mei 29 jijini Dar es Salaam.

Ziara hiyo inatokana na mwaliko maalum waliopata kutoka Shule ya Trust St. Patrick, iliyopo maeneo ya Sakina mkoani humo, ambayo pia imesajiliwa kama kituo cha michezo.

Akizungumza na mtandao rasmi wa klabu www.azamfc.co.tz Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffar Idd...

May 18, 2017 03:58pm

KESHOKUTWA Jumamosi, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itafunga pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kwa kukipiga dhidi Kagera Sugar katika Uwanja wa Azam Complex, saa 10.00 jioni.

Mchezo huo unatarajia kuwa na ushindani mkali kwa pande zote mbili, hasa ikizingatiwa timu hizo zinawania kumaliza ligi kwenye nafasi ya tatu, ambapo kwa sasa zinapishana pointi mbili tu, Azam FC ikishika nafasi hiyo baada ya kufikisha 52, huku Kagera Sugar ikiwa nazo 50.

...
May 18, 2017 01:15am

KIPA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aishi Manula, ni miongoni mwa nyota watano wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa ligi hiyo msimu huu.

Wachezaji wengine wanaowania tuzo hiyo ni kiungo Haruna Niyonzima na winga Simon Msuva kutoka Yanga pamoja na winga Shiza Kichuya na beki Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ (Simba).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) inaeleza kuwa wapiga...

May 13, 2017 05:34pm

KAZI Haijaisha! Hiyo ndio kauli aliyotoa Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba, mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa jana dhidi ya Toto African, amedai kuwa bado kuichapa Kagera Sugar katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex Jumamosi ijayo.

Azam FC iyoibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Toto kwa mabao safi yaliyofungwa na Shaaban Idd na Ramadhan Singano ‘Messi’, ipo kwenye na...

May 13, 2017 12:21am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imezidi kufanya kweli baada ya kuichapa Toto African ma bao 2-0, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) uliomalizika usiku huu kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Walikuwa ni Shaaban Idd na Ramadhan Singano ‘Messi’, waliopeleka kilio kwa Toto African baada ya kuifungia Azam FC mabao hayo pekee katika mchezo huo wa raundi ya 29 ya ligi hiyo.

Wakati ushindi huo ukizidi kuipa matumaini makubwa...

May 12, 2017 01:20am

ZIMEBAKIA saa kadhaa kabla ya kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, hakijashuka dimbani kuvaana na Toto African ya mkoani Mwanza, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaokuwa na vita kuu mbili baina ya timu hizo.

Vita hizo ni ile ya Azam FC ambayo itakuwa ikisaka pointi tatu muhimu kwa ajili ya kujikita katika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi, huku ile ya pili ikiwa ni ya Toto ambayo inasaka ushindi ili kujinasua kwenye janga la...

Back to Top