UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC na ule wa Kagera Sugar jana ulifikia muafaka kuhusu usajili wa mshambuliaji Mbaraka Yusuph.

Aug 18, 2017 03:32pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC na ule wa Kagera Sugar jana...

Aug 17, 2017 07:44pm

MSHAMBULIAJI kinda wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shaaban Idd, anatarajia...

Aug 16, 2017 07:10pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unawatoa hofu mashabiki wa timu...

Aug 18, 2017 03:32pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC na ule wa Kagera Sugar jana...

Aug 17, 2017 07:44pm

MSHAMBULIAJI kinda wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shaaban Idd, anatarajia...

Aug 16, 2017 07:10pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unawatoa hofu mashabiki wa timu...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

Aug 18, 2017 03:32pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC na ule wa Kagera Sugar jana...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

Nov 11, 2016 10:25pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi wa...

News by Cetegory

Highlight News

Aug 18, 2017 03:32pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC na ule wa Kagera Sugar jana ulifikia muafaka kuhusu usajili wa mshambuliaji Mbaraka Yusuph.

Baada ya klabu hizo kukaa mezani, sasa Kagera Sugar imemruhusu rasmi mshambuliaji wake huyo wa zamani kukipiga kwa mabingwa hao wa Kombe la Mapinduzi na Ngao ya Jamii msimu uliopita.

Awali uongozi wa Kagera Sugar, ulimwekea pingamizi mshambuliaji huyo wakidai bado ana mkataba wa miaka mitatu ndani ya kikosi hicho, jambo ambalo...

Aug 17, 2017 07:44pm

MSHAMBULIAJI kinda wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shaaban Idd, anatarajia kuondoka nchini kesho Ijumaa kuelekea nchini Afrika Kusini kwa uchunguzi wa afya yake.

Hii ni mara ya pili kwa nyota huyo kupelekwa nchini humo kwa matibabu kutokana na tatizo la misuli ya nyama za paja inayomsumbua, awali mwezi uliopita alikwenda na daktari wa Azam FC, Mwanandi Mwankemwa, sambamba na mshambuliaji Mbaraka Yusuph.

Kwa mujibu wa uchunguzi wa kwanza katika Hospitali ya...

Aug 16, 2017 07:10pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unawatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kuhusu usajili wa mshambuliaji Mbaraka Yusuph, aliyewekewa pingamizi na timu yake ya zamani ya Kagera Sugar.

Azam FC imefanikiwa kumsajili Mchezaji huyo Bora Chipukizi wa VPL msimu uliopita kwenye usajili huu, kwa mkataba wa miaka miwili na tayari ameungana na kikosi hicho kilichomaliza kambi yake ya siku 10 nchini Uganda juzi kujiandaa na msimu ujao.

Kagera Sugar inadai bado ina...

Aug 15, 2017 11:12pm

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba, ameweka wazi kuwa mechi tano za kirafiki alizocheza nchini Uganda, zimempa mwelekeo namna atakavyokipanga kikosi chake kuelekea msimu ujao.

Azam FC imemaliza kambi ya siku 10 nchini humo jana kwa mafanikio makubwa bila kupoteza mchezo wowote, baada ya kuichapa Vipers bao 1-0, mechi nyingine nne ilizocheza imetoka sare ya 2-2 na timu ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ ya wachezaji wa ndani (CHAN), ikakipiga...

Aug 14, 2017 08:32pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, jioni ya leo imemaliza kambi yake ya siku 10 nchini Uganda kwa kuichapa Vipers bao 1-0 mchezo uliofanyika Uwanja wa St, Mary’s, Kitende, Uganda.

Kocha Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, aliendelea na mfumo wake wa kubadilisha kikosi kwa kuwapa nafasi wachezaji wote kucheza, baada ya kuingiza kikosi kipya katika mchezo huo tofauti na kile kilichoanza jana kwenye ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Onduparaka.

Bao pekee la Azam FC...

Aug 13, 2017 07:50pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, jioni hii imeendeleza kutoa dozi kwenye kambi yake nchini Uganda baada kuichapa Onduparaka mabao 3-0.                       

Huo ulikuwa ni mchezo wa nne wa kirafiki wa Azam FC nchini humo, baada ya awali kutoka sare mbili, na Ijumaa iliyopita kuifunga URA mabao 2-0.

Mabao ya Azam FC katika mchezo huo uliokuwa mkali na aina yake yamefungwa kiufundi na washambuliaji Yahaya Mohammed dakika ya 40, Yahya Zayd, dakika ya 63 kabla ya...

Aug 12, 2017 10:55pm

KWA niaba ya Uongozi na Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, tunawapongeza viongozi wote wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), waliochaguliwa kwenye Mkutano Mkuu wa Uchaguzi uliofanyika mkoani Dodoma leo.

Pongezi zaidi ziende kwa Rais mpya wa TFF, Wallace Karia na Makamu wake, Michael Wambura. Tunapenda kuwapa hongera na kuwatakia kheri kwenye uongozi wao kwa kipindi chote watakachohudumu.

Tunaamini kupitia kwao na wajumbe wa Kamati ya...

Aug 11, 2017 06:43pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeendelea kufanya kweli kwenye kambi yake nchini Uganda baada ya muda mchache uliopita kuichapa URA mabao 2-0.

Mchezo wa huo wa kimataifa wa kirafiki ulifanyika Uwanja wa Phillip Omondi, ambapo Azam FC imeutumia kama maandalizi ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).

Kocha Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, alichezesha kikosi kingine cha pili katika mchezo huo na kuwapumzisha wachezaji walioanza...

Aug 10, 2017 06:51pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya KCCA katika mchezo wa kirafiki wa maandalizi ya msimu ujao uliofanyika Uwanja wa StarTimes, jijini Kampala, Uganda.

Mchezo huo uliokuwa mkali na wa aina yake ulishuhudia ukimaliza kipindi cha kwanza kwa timu zote zikiwa hazijafungana, na kipindi cha pili kila upande ukafanikiwa kucheka na nyavu mara moja kwa mpinzani wake.

Azam FC iliyocheza vizuri kwenye mchezo huo kama ilivyo kwa KCCA, ilibidi...

Aug 09, 2017 01:17pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kesho Alhamisi inatarajia kukipiga dhidi ya KCCA katika mchezo wa kirafiki utakaofanyika Uwanja wa Phillip Omondi, jijini Kampala, Uganda kuanzia saa 10.00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Azam FC ipo kwenye maandalizi makali kwenye kambi yake nchini humo kwa siku 10 ikijiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) unaoanza rasmi Agosti 26 mwaka huu.

Kikosi cha Azam FC kiko vizuri kabisa katika kambi hiyo...

Aug 08, 2017 04:06pm

MSHAMBULIAJI mpya wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Mbaraka Yusuph, ameahidi kuibuka mfungaji bora wa michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) inayotarajia kuanza kutimua vumbi Agosti 26 mwaka huu.

Yusuph aliyesaini mkataba wa miaka miwili ni miongoni mwa washambuliaji wapya waliosajiliwa kwa ajili ya msimu ujao akitokea Kagera Sugar alikofunga mabao 12 msimu uliopita na kuchaguliwa kuwa Mchezaji Bora Chipukizi.

Akizungumza na mtandao rasmi wa...

Aug 07, 2017 07:37pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, sasa imeongezewa mechi moja ya kirafiki jijini Kampala, Uganda baada ya Vipers kuthibitisha kucheza nayo Agosti 11 mwaka huu.

 

Tayari mechi nyingine tatu zimeshathibitishwa, ambapo Azam FC itaanza kucheza mchezo wa kwanza dhidi ya KCCA Alhamisi ijayo saa 10.00 jioni, ukifuatiwa na huo wa Vipers, itachuana na Ondurapaka Agosti 13 kabla ya kuhitimisha ziara kwa kukipiga na URA Agosti 14.

Back to Top