Miaka sita sasa, tangu tuweke rekodi hii...

Category: 
Team: 
Azam FC

SIKU kama leo miaka sita iliyopita (Aprili 19, 2014), Azam FC iliweka alama yao kwenye vitabu vya kumbukumbu vya soka hapa nchini pale ilipomaliza Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kwa kutwaa taji hilo kwa mara ya kwanza bila kupoteza hata mchezo mmoja.

 

Ilikuwa katika mchezo wetu dhidi ya JKT Ruvu Stars (sasa JKT Tanzania) ambapo tulishinda 1-0, shukrani kwa bao la dakika ya 78 lililofungwa na straika kutoka nchini Uganda, Brian Umony.

 

Mechi hii ilikuja takribani wiki moja baada ya kutwaa ubingwa pale ilipoifunga 2-1 Mbeya City jijini Mbeya, kwa mabao ya Gaudence Mwaikimba na nahodha John Bocco.

 

Matokeo yetu yote ya msimu huo yalikuwa kama ifuatavyo. 

 

24/08/2013

Mtibwa Sugar 1 - 1 Azam FC

 

28/08/2013

Rhino Rangers 0 - 2 Azam FC

 

14/09/2013

Kagera Sugar 1 - 1 Azam FC

 

18/09/2013

Azam FC 1 - 1 Ashanti United

 

22/09/2013

Azam FC 3 - 2 Yanga 

 

29/09/2013

Tanzania Prisons 1 - 1 Azam FC

 

05/10/2013

Coastal Union 0 - 0 Azam FC

 

09/10/2013

Azam FC 2 - 0 JKT Mgambo

 

13/10/2013

Azam FC 3 - 0 Ruvu Stars

 

19/10/2013

Oljoro 0 - 1 Azam FC

 

28/10/2013

Simba 1 - 2 Azam FC

 

02/11/2013

Azam FC 3 - 0 Ruvu Shooting

 

07/11/2013

Azam FC 3 - 3 Mbeya City

 

Tukabadilisha kocha. Stewart Hall akaondoka, akaja Joseph Omog.

 

25/01/2014

Azam FC 1 - 0 Mtibwa Sugar

 

29/01/2014

Azam FC 1 - 0 Rhino Rangers

 

02/02/2014

Azam FC 4 - 0 Kagera Sugar

 

23/02/2014

Azam FC 2 - 2 Tanzania Prisons

 

26/02/2014

Ashanti United 0 - 4 Azam FC

 

19/03/2014 

Yanga 1 - 1 Azam FC

 

23/03/2014 

Azam FC 1 - 0 Oljoro

 

26/03/2014

JKT Mgambo 0 - 2 Azam FC

 

30/03/2014

Azam FC 2 - 1 Simba

 

10/04/2014

Ruvu Shooting 0 - 3 Azam FC

 

13/04/2014

Mbeya City 1 - 2 Azam FC

 

19/04/2014

Ruvu Stars 0 - 1 Azam FC

 

Kwa ujumla tulicheza mechi 38 bila kupoteza, kuanzia Machi 9, 2013 (msimu wa 2012/13) hadi Oktoba 25, 2014 (msimu wa 2014/15).

 

Mechi za msimu wa 2012/13

  

09/03/2013

Azam FC 1 - 1 Polisi Morogoro

 

27/03/2013

Azam FC 3 - 0 Tanzania Prisons

 

30/03/2013

Ruvu Shooting 0 - 1 Azam FC

 

11/04/2013

Azam FC 3 - 1 African Lyon

 

14/04/13 

Azam FC 2 - 2 Simba SC

 

26/04/2013

Coastal Union 1 - 1 Azam FC

 

18/05/2013

Oljoro 0 - 1 Azam FC

 

Mechi za 2014/15.

 

20/09/2014 

Azam FC 3 - 1 Polisi Moro

 

27/09/14

Azam FC 2 - 0 Ruvu Shooting

 

04/10/2014

TZ Prisons 0 - 0 Azam FC

 

18/10/2014

Mbeya City 0 - 1 Azam FC

 

#WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora

Back to Top