Veterean Team

Latest News

Sep 08, 2018 12:51pm

TIMU ya Azam Veteran imeonesha kuwa imepania kutwaa ubingwa wa michuano ya Urafiki Cup iliyoanza jana, baada ya kuiwashia moto Mikocheni Veteran kwa kipigo cha mabao 5-1.

Azam Veteran iliyoanza na kasi ya nguvu, ilijipatia mabao yake...

Sep 06, 2018 03:14pm

TIMU ya Azam Veteran inatarajia kushiriki michuano ya Urafiki Cup itakayofanyika kuanzia kesho Ijumaa hadi Oktoba 12 mwaka huu kwenye Viwanja vya Gymkhana, Posta, jijini Dar es Salaam.

Jumla ya timu nyingine sita zinatarajia kushiriki...

Mar 24, 2017 11:59pm

TIMU ya Azam Veteran jioni ya leo imeiangamiza Football Fans mabao 6-3 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Huo ni mwendelezo wa mechi za kirafiki wa timu hiyo kwa wachezaji kujiweka sawa...

Jul 25, 2016 12:09am

TIMU ya Azam Veteran imezidi kufanya kweli kwenye michuano ya maveterani ya Azam Fresco Cup baada ya jioni ya leo kuishudhia kipigo kizito cha mabao 6-0 Mbagala ndani ya Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Huo ni ushindi wa...

Jul 22, 2016 09:54pm

MICHUANO ya timu za maveteran ya Azam Fresco Cup, inatarajia kutimua tena vumbi wikiendi hii ambapo itashuhudiwa timu mwenyeji Azam Veteran ikisaka nafasi ya kutinga hatua ya nusu fainali kwa kukipiga na Mbagala Veteran keshokutwa Jumapili saa 9....

Jul 17, 2016 11:50pm

TIMU ya Azam Veteran imeanza vema kufukuzia taji la michuano ya Azam Fresco Cup baada ya kuwachapa maveterani wenzao wa Simba mabao 3-2 jioni ya leo.

Mchezo huo wa ufunguzi wa michuano hiyo inayofanyika Uwanja wa Azam Complex, ilishuhudiwa...

Jul 15, 2016 08:22am

MICHUANO ya Kombe la Azam Fresco inatarajia kuanza rasmi keshokutwa Jumapili kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Moja ya timu zitakazoshiriki michuano hiyo inayodhaminiwa na kinywaji safi kabisa kipya cha Azam Fresco, ni...

May 06, 2016 02:06am

TIMU ya Azam Veteran usiku wa kuamkia leo imeaga michuano ya Ligi ya JMK Floodlight baada ya kufungwa na JMK-Romario Sports kwa mikwaju ya penalti 4-3 kufuatia saye ya 2-2 ndani ya muda wa kawaida wa mchezo huo wa hatua ya robo fainali.

...

Pages

Back to Top