Team News

Latest News

May 29, 2016 09:46pm

WACHEZAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, hivi sasa wapo kwenye mapumziko wa wiki tano hadi Juni 30, mwaka huu baada ya kumalizika kwa msimu wa 2015/16.

Azam FC inayodhaminiwa na Benki bora kabisa kwa...

May 24, 2016 08:39pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, imezidi kujiendesha kisasa zaidi baada ya leo kuandika historia mpya ya ufunguzi wa duka lake la kuuza vifaa vyake vya michezo.

Duka hilo lililopewa jina la ‘Azam Sports Shop’ limefunguliwa...

May 23, 2016 07:55pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, imeonyesha kweli imedhamiria kuinua soka la vijana nchini baada ya leo kutangaza kuandaa michuano ya vijana ya Afrika Mashariki itakayoanza kutimua vumbi kwenye viunga vya Azam Complex Juni Mosi...

Pages

Back to Top