Team News

Latest News

Aug 07, 2015 09:59am

Kipa wa Azam FC, Aishi Manula amesema, kikosi chao kimefanya vizuri hadi kuchukua kombe kwa sababu walicheza kwa malengo na ushirikiano wa hali ya juu wakikubaliana mapema “atakayekosea atakemewa”.

 

Manula ambaye alidaka mechi tano...

Aug 02, 2015 09:02pm

Azam FC imeweka historia baada ya kuchukua ubingwa wa michuano ya Kombe la Kagame kwa mara ya kwanza ikiwa ni timu ya kwanza nje ya Simba na Yanga kutwaa kombe hilo.

 

Lakini historia ya kuvutia zaidi ni kutwaa ubingwa wa kimataifa...

Jul 25, 2015 07:11pm

Ikicheza soka safi la hali ya juu na kuelewana muda wote wa dakika 90, Azam FC leo imeigalagaza vibaya Adama City FC jumla ya mabao 5-0 na kujihakikishia uongozi wa kundi kwa “style” mbali na kutinga robo fainali huku huku nyavu zake zikiwa...

Jul 21, 2015 03:19pm

Mshambulizi wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars aliyekuwa anakipiga Al Merrikh Allan Wanga amesign mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Azam FC mchana huu na kukamilisha idadi ya wachezaji saba wa kimatafa....

 

Jun 24, 2015 02:07pm

Kikosi cha Azam FC kinachojiandaa na mashindano ya Kagame Cup kimeendelea na maandalizi yake kwenye viunga vya Azam Complex huku benchi jipya la ufundi likifurahia vipaji vilivyopo.

 

Wasaidizi wa Stewart toka uingereza na Romania...

Jun 09, 2015 05:26pm

Himid Mao Mkamy na Aishi Salum Manula wamepigiwa chapuo na mashabiki wengi wa Azam FC mtandaoni kuwa wachezaji bora wa klabu msimu wa 2014/15.

 

Mara baada ya ligi kuu kuisha, katika majadiliano kwa njia ya WhatsApp mashabiki  wengi...

Pages

Back to Top