Team News

Latest News

Oct 21, 2015 04:37pm

TIMU ya Azam FC imepania kuvunja mwiko wa kutoifunga Ndanda FC kwenye uwanja wao wa Nangwanda Sijaona, watakapovaana nayo keshokutwa mjini Mtwara.

Msimu uliopita Azam FC ilikubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Ndanda kwenye uwanja huo,...

Sep 19, 2015 12:27pm

Kikosi cha Azam FC kimetua kwenye viunga vya uzunguni vya mgodi wa dhahabu wa Mwadui kabla ya kukabiliana na watoto wa Jamhuri Kihwelu aka Talantin Alberto Pereira hapo kesho.

Ulimwengu wa soka nchini unajua ufundi, ushindani, majigambo na...

Aug 19, 2015 06:48pm

Rais Dr Jakaya kikwete ambaye ni mpenzi wa michezo na burudani alipotembelewa na wachezaji wa Azam FC ikulu jana alisema, Baada ya kusikia Azam FC imeshinda alifurahi na kuongeza kwamba ushindi huo umepunguza ukame wa vikombe vya mashindano ya...

Aug 07, 2015 09:59am

Kipa wa Azam FC, Aishi Manula amesema, kikosi chao kimefanya vizuri hadi kuchukua kombe kwa sababu walicheza kwa malengo na ushirikiano wa hali ya juu wakikubaliana mapema “atakayekosea atakemewa”.

 

Manula ambaye alidaka mechi tano...

Aug 02, 2015 09:02pm

Azam FC imeweka historia baada ya kuchukua ubingwa wa michuano ya Kombe la Kagame kwa mara ya kwanza ikiwa ni timu ya kwanza nje ya Simba na Yanga kutwaa kombe hilo.

 

Lakini historia ya kuvutia zaidi ni kutwaa ubingwa wa kimataifa...

Jul 25, 2015 07:11pm

Ikicheza soka safi la hali ya juu na kuelewana muda wote wa dakika 90, Azam FC leo imeigalagaza vibaya Adama City FC jumla ya mabao 5-0 na kujihakikishia uongozi wa kundi kwa “style” mbali na kutinga robo fainali huku huku nyavu zake zikiwa...

Jul 21, 2015 03:19pm

Mshambulizi wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars aliyekuwa anakipiga Al Merrikh Allan Wanga amesign mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Azam FC mchana huu na kukamilisha idadi ya wachezaji saba wa kimatafa....

 

Jun 24, 2015 02:07pm

Kikosi cha Azam FC kinachojiandaa na mashindano ya Kagame Cup kimeendelea na maandalizi yake kwenye viunga vya Azam Complex huku benchi jipya la ufundi likifurahia vipaji vilivyopo.

 

Wasaidizi wa Stewart toka uingereza na Romania...

Pages

Back to Top