Team News
Latest News
ZIKIWA zimebakia siku tano kabla ya kufunguliwa kwa pazia la msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), uongozi wa Azam FC umekutana na mashabiki wa timu hiyo kupanga mikakati ya mafanikio.
Azam FC itafungua pazia hilo Agosti 23 kwa...
NYOTA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Enock Atta, ameiongoza timu ya Taifa ya Ghana chini ya umri wa miaka 20 (Ghana U-20) kuichapa Benin mabao 3-1 kwenye mchezo wa raundi ya tatu kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika kwa...
Enjoy an exclusive interview with Azam FC new signing striker, Ditram Adrian Nchimbi.
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imethibitisha kuingia mkataba wa miaka miwili na mshambuliaji Ditram Nchimbi, akitokea Njombe Mji.
Nchimbi ni mmoja ya washambuliaji wachache kwenye ligi ambao wanatambulika kwa uwezo wa...
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inathibitisha kuwa leo imeingia rasmi mkataba wa mwaka mmoja na mshambuliaji Donald Ngoma, atakaoanza kuutumikia kuanzia msimu ujao.
Awali pande hizo mbili ziliingia makubaliano ya mkataba...
IMETHIBITIKA kuwa mshambuliaji mpya wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Donald Ngoma, atarejea dimbani Agosti 11 mwaka huu tayari kuanza kuitumikia timu hiyo kwa mechi za ushindani.
Baada ya kufanyiwa vipimo katika...
MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shaaban Idd Chilunda, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Mei wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL).
Chilunda ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili...