Team News

Latest News

Jan 30, 2017 05:27pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inapenda kutuma salamu za rambirambi kwa uongozi wa klabu ya Kagera Sugar baada ya kufariki dunia kwa kipa wao, David Buruani, usiku wa kuamkia leo.

Kwa mujibu wa taarifa za awali, Buruani...

Dec 02, 2016 10:18am

KITUO cha kukuza vipaji cha Green Sports Academy kutoka jijini Nairobi, Kenya kinatarajia kufanya ziara maalumu kwenye makao makuu ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC.

Ziara hiyo ya siku sita itakayoambatana na mechi za...

Nov 29, 2016 04:37pm

ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Nassor Idrissa (wa pili kutoka kulia kwenye picha), ameteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa timu hiyo akirithi mikoba ya Alhaji Said Mohamed Abeid, aliyefariki dunia mwanzoni mwa...

Nov 22, 2016 04:13pm

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda, leo mchana amefanya ziara kwenye Makao Makuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC akiwa na lengo kuu la kuipongeza kutokana na juhudi kubwa wanazofanya za kuwekeza katika...

Pages

Back to Top