Team Injuries

Latest News

Apr 09, 2019 01:18pm

MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Mbaraka Yusuph, anatarajia kukaa nje ya dimba kwa muda wa miezi tisa ijayo baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti jijini Cape Town, Afrika Kusini jana.

Nyota huyo amekutwa na...

Dec 21, 2018 11:34am

BEKI kisiki wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC na timu ya Taifa 'Taifa Stars', Abdallah Kheri maarufu kama Sebo, atakuwa nje ya dimba kwa kipindi cha miezi tisa kuanzia sasa baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti jijini Cape Town,...

Dec 14, 2018 01:51pm

BEKI kisiki wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Abdallah Kheri maarufu kama Sebo, amefanyiwa upasuaji wa goti nchini Afrika Kusini leo Ijumaa asubuhi.

Kheri amefanyiwa upasuaji huo baada ya kupata majeraha kwenye mchezo wa...

Oct 21, 2018 04:02pm

Beki wa kati wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Daniel Amoah, ameanza kujifua kwa mazoezi mepesi ya gym (pysiotherapy) kwenye kliniki ya London Health Care iliyopo Msasani, Dar es Salaam.

Amoah aliyekuwa nje kwa takribani...

Oct 19, 2018 09:53am

NAHODHA Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Frank Domayo ‘Chumvi’, anatarajia kukaa nje ya dimba kwa muda wa miezi minne sawa na wiki 16.

Domayo aliyekuwa kwenye uchunguzi jijini Cape Town, Afrika Kusini wiki...

Pages

Back to Top