Football

SOKA ni mchezo wa bahati wakati mwingine. Naam sadakta, usemi huo umedhihirika leo kwenye Uwanja wa Prince Moulay Abdellah baada ya Azam kulala 2-1 mbele ya wenyeji AS FAR Rabat na kutolewa katika...

 

Timu ya soka ya Azam FC imesafiri leo kuelekea Manungu Turiani mkoani Morogoro kukwaana na Mtibwa Sugar mchezo ambao utafanyika kesho

Azam FC imesafiri na kikosi chake chote cha...

Pages

Champions League

2 years 5 months ago

Latest News

10 hours 3 min ago

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeendeleza ushirikiano wake na Benki ya NMB baada ya kusaini rasmi mkataba mpya wa mwaka mmoja na benki hiyo inayoongoza hapa nchini kwa sasa....

1 day 13 hours ago

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, ameonekana kuwa mjanja kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya kujiwekea mikakati ya kutopoteza mchezo wowote.

...

2 days 9 hours ago

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imedhihirisha kuwa inautaka ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya jioni ya leo kupata ushindi mujarabu wa ugenini mkoani...

3 days 8 hours ago

MSIMU uliopita Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, ilifanya maajabu kwa kujiandikia historia baada ya kupata pointi tatu kwa mara ya kwanza dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja...

Back to Top