Football

Azam FC kwa mara nyingine tena imepoteza ngao ya jamii baada kulazimishwa suluhu ya bila kufungana Yanga ambao baadaye waliwatoa kwa njia ya mikwaju ya penalti 8-7 wakachukua ubingwa wa Ngao ya...

Straika Mrundi wa Azam FC, Didier Kavumbagu amekubali ufundi anaoupata kutoka kwa kocha wake, Muingereza Stewart Hall na akatamba kwamba huyu kocha anajua sana.

Kavumbagu amefundishwa na...

Pages

Champions League

1 year 7 months ago

Latest News

2 hours 52 min ago

TIMU ya Azam Veteran jioni ya leo imeiangamiza Football Fans mabao 6-3 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Huo ni mwendelezo wa mechi za...

11 hours 53 min ago

BENCHI la Utabibu la Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, limeweka wazi taarifa mpya zinazowahusu wachezaji watatu wa timu hiyo, nahodha John Bocco ‘Adebayor’, Aggrey Morris na...

1 day 2 hours ago

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, jioni ya leo imeanza rasmi mazoezi ya kujiandaa na mchezo ujao dhidi ya Yanga.

Mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL)...

Back to Top