First Team

Latest News

Feb 25, 2019 11:12pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) baada ya kuichapa Rhino Rangers mabao 3-0, mchezo uliomalizika usiku huu kwenye Uwanja wa Azam Complex.

...
Feb 24, 2019 09:40pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itashuka dimbani kusaka robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) ikivaana na Rhino Rangers ya Tabora kwenye Uwanja wa Azam Complex kesho Jumatatu saa 1.00...

Feb 23, 2019 09:10pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unatangaza kuachana na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Hans Van Der Pluijm baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili.

Azam FC imefikia makubaliano ya kuachana na Mholanzi...

Feb 23, 2019 06:35pm

NAHODHA Msaidizi wa Azam FC, Frank Domayo ‘Chumvi’, amesema kuwa mara baada ya kurejea dimbani, jambo muhimu hivi sasa ni kupambana akishirikiana na wachezaji wenzake na kuipa matokeo ya ushindi timu hiyo kwa mechi zilizobakia.

Domayo...

Feb 23, 2019 02:28am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeteleza kwenye muendelezo wa mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) baada ya kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Simba.

Ushindi huo unaifanya Azam FC kubakiwa na pointi zake 50 katika nafasi ya...

Feb 21, 2019 06:36pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakuwa kibaruani kuvaana na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kesho Ijumaa saa 10.00 jioni.

Kikosi cha Azam FC kinamorali ya...

Feb 19, 2019 07:52pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Coastal Union ugenini, mchezo uliofanyika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

Sare hiyo inaifanya Azam FC kufikisha jumla ya pointi 50 ikiwa nafasi ya pili kwenye...

Pages

Back to Top