First Team

Latest News

Jul 05, 2016 12:57am

KIPA raia wa Hispania, Juan Jesus Gonzalez, ametua nchini jana mchana, tayari kabisa kufanya majaribio ya kujiunga na Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC.

Ujio wa kipa huyo unatokana na benchi jipya la ufundi la Azam FC chini...

Jul 02, 2016 11:21pm

MAKOCHA wapya wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC kutoka nchini Hispania, wametua rasmi jijini Dar es Salaam leo saa 9 Alasiri tayari kabisa kuanza maandalizi ya msimu ujao (2016-17).

Wakufunzi hao waliotua leo na...

Jun 28, 2016 01:11pm

KIUNGO wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Jean Baptiste Mugiraneza, tayari ameanza kujifua nchini kwao Rwanda kuelekea msimu ujao huku akiwaambia mashabiki wa timu hiyo wategemee makubwa kutoka kwake 2016/17.

Migi...

Jun 23, 2016 11:45pm

NYOTA wawili wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shomari Kapombe na Pascal Wawa hivi sasa wapo jijini Cape Town, Afrika Kusini kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa afya zao.

Mabeki hao waliondoka nchini tokea Jumanne...

Jun 23, 2016 02:49pm

BAADA ya mapumziko ya takribani mwezi mmoja baada ya kumalizika msimu uliopita, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, imebakiza siku nane tu kabla ya kuanza maandalizi ya msimu mpya wa 2016-17.

Wachezaji wote wa Azam FC...

Jun 16, 2016 03:48pm

BAADA ya kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa mashabiki msimu uliopita, beki wa kulia wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shomari Kapombe, amewashukuru mashabiki kwa kuonyesha imani naye na kumfanya awe mshindi wa tuzo hiyo.

...

Jun 15, 2016 07:08pm

BEKI mahiri wa kulia wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shomari Kapombe, amechaguliwa na mashabiki kuwa Mchezaji Bora wa timu hiyo msimu uliopita.

Zoezi la kumtafuta mchezaji wa kutwaa tuzo hiyo lilianza rasmi Juni 8...

Jun 11, 2016 05:54am

NYOTA sita wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC wamethibitishwa na mashabiki kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa timu hiyo msimu uliopita.

Azam FC ilianza rasmi mchakato wa kusaka mchezaji bora wa timu hiyo kwa msimu uliopita...

Pages

Back to Top