First Team

Latest News

Nov 23, 2018 01:32pm

MASHABIKI wengi wa soka wamekuwa wakiwa na maswali mengi kuhusu staili ya ushangiliaji ya winga Ramadhan Singano ‘Messi’, aliyofanya jana Alhamisi mara baada ya kufunga bao dhidi ya Ruvu Shooting.

Azam FC iliwachapa maafande hao mabao 2-1...

Nov 23, 2018 12:16am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imefanya kweli baada ya kuinyuka mabao 2-1 Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliomalizika kwenye Uwanja wa Azam Complex leo Alhamisi usiku.

Ushindi huo...

Nov 21, 2018 05:32pm

BAADA ya mapumziko ya takribani wiki mbili kupisha mechi za kufuzu Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Cameroon, kikosi cha Azam FC kitashuka dimbani kuvaana na Ruvu Shooting kesho Alhamisi saa 1.00 usiku.

Mchezo huo wa Ligi Kuu...

Nov 16, 2018 11:39pm

AKICHEZA mechi yake ya kwanza tokea asajiliwe na Azam FC, mshambuliaji Obrey Chirwa, amefungua akaunti ya mabao kwa kufunga moja wakati timu hiyo ikiilaza timu ya Taifa ya Tanzania chini ya umri wa miaka 23 (Ngorongoro Heroes) mabao 2-0.

...

Nov 16, 2018 01:37pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imehamishia rasmi Uwanja wa Taifa mechi zake za nyumbani itakazocheza na Simba na Yanga kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) msimu huu.

Katika barua iliyoandikwa jana kuelekea Bodi ya Ligi...

Pages

Back to Top