First Team

Latest News

Jul 16, 2015 06:16pm

Kikosi kamili cha Azam FC kesho kitaingia kambini tayari kujiwinda rasmi na michuano ya Kombe la Kagame, wachezaji hao, wataambatana na benchi lao la ufundi kwenda kula sikuu ya Idd kwenye kasir la familia ya Bakhresa Kigamboni.

Kocha mkuu...

Jul 16, 2015 06:06pm

Kiraka wa Azam FC Shomari Kapombe, amesema timu yao iko tayari kwa Kagame na wana kila sababu ya kuchukua Kombe hilo msimu huu na kutengeneza historia mpya ya klabu.

Kapombe amesema, ana jeuri ya kusema hivyo kutokana na aina ya wachezaji...

Jun 30, 2015 12:59pm

Azam FC inashusha wachezaji sita mahiri kwa majaribio ya kujiunga na kuimarisha kikosi cha msimu ujao ambacho pia kitawakilisha nchi kwenye mashindano ya CECAFA Kagame Cup wiki tatu zijazo na Kombe la shirikisho hapo mwakani.

 

...

Jun 13, 2015 12:41pm

Siyo Ndombolo, ni style tuu ya kushangilia goli. Dedier Kavumbagu akiwangoza Frank Domayo na Erasto Nyoni kushangilia goli lililofungwa na Frank Domayo kwenye moja ya mechi za VPL

Jun 13, 2015 01:14pm

Azam FC inatarajia kuanza mazoezi jumanne ijayo tarehe 16 kujiandaa ligi kuu msimu wa 2015/16 na mashindano ya kombe la Kagame litakalotimua vumbi jijini Dar es Salaam kuanzia July 11 mwaka huu. Kikosi cha Azam FC chini ya Kocha mwenye uzoefu na...

Stewart Hall
May 29, 2015 03:42pm

Klabu ya Azam FC imefanya mabadliko makubwa ya watendaji na kidogo kwenye mfumo wake wa uongozi, ili kuleta tija na mafanikio kwa haraka klabuni. Utekelezaji wa mabadiliko hayo unaanza mwezi huu.

BODI YA WAKURUGENZI;
Hiki ni kikao...

Oct 06, 2016 07:44pm

MABINGWA wapya wa Ligi Kuu ya Voidacon Tanzania Bara, Azam FC usiku wa jana walitamba katika sherehe za tuzo za washindi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwenye ukumbi wa Golden Jubilee, Tower, Mtaa wa Ohio, Dar es Salaam. Mshambuliaji wake...

Dec 30, 2014 10:05pm

Licha ya kupoteza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki dhidi ya A.F.C Leopard, kocha wa Azam FC Stewart Hall amesema timu yake imecheza vizuri na kufungwa ni sehemu ya mchezo.

Stewart alisema haikuwa bahati kwao kwa kuwa walipata nafasi...

Pages

Back to Top